Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Daniel Sturridge anadaiwa kutaka kuondoka sababu kuu Jurgen Klopp kuwa mkali sana kwa upande wake kutokana na majeruhi yake sambamba na kumtaka afanye mazoezi na timu walau siku 10 mfululizo ndipo apangwe.
 
Kikosi KItakachoshiriki Europa League

Makipa; Simon Mignolet, Danny Ward

Mabeki; Nathaniely Clyne, Steven Caulker, Kolo Toure, Dejan Lovren, Alberto Moreno, Mamadou Sakho, Martin Skrtel

Viungo; Lucas Leiva, Jordan Henderson, James Milner, Emre Can, Joe Allen, Phillipo Coutihno, Adam Lallana, Roberto Firmino, Joao Carlos Teixeira

Washambuliaji; Divock Origi, Daniel Sturridge, Christian Benteke

NB
Jordan Ibe, Brad Smith, Cameron Branagan, Pedro Chirivella & Jordan Rossiter hawajajumuishwa katika kikosi kilichowasilishwa UEFA lakini watacheza sababu wataingia nafasi ya vijana chini ya miaka 21.
Wakati Kevin Stewart hatoshiriki sababu tayari amefikisha umri zaidi ya miaka 21
 
MASSIVE CLEAR-OUT IN THE SUMMER IS NEEDED AISEEE.

Players i'd bin:
Mignolet
Bogdan
Skrtel
Kolo
Lucas
Milner
Lallana
Benteke
Enrique
Ibe (sending him out on loan)
Balotelli
Luis Alberto (he wont Cut it a LFC)
Origi (sending him Out on loan, kama tukiadd another ST)

Players i'd keep kama backup (squad players):

Allen (considering his form, but kama akiuzwa, wont be fuming)
Gomez
Henderson (YES, our captain, but kama tukiondeza 2 mids katikati (Xhaka, Gundogan/?))
Danny Ings.
Teixeira
Lovren
Markovic

First team players:
Coutinho
Can
Firmino
DS (kama akiendelea kuwa fit)
Nathaniel Clyne
Moreno (i do still believe in him, despite his recent form)
Flannagan???

Players i'd buy (Kulingana na rumours)
Ter Stegen
Laporte/Gimenez
Xhaka
Gundogan
Gotze
1 Striker
LCB cover

players i'd promote in the first team.
Brad Smith
Stewart.
Rossiter
Branno (well, kwenye cups)


Considering recent form ya Sakho kwa sasa, anafaa kuanza katika first team next season? Coz as far as i can see hatuwezi nunua 2 Cbs summer hii...
mignolet should be sub keeper though
 
Jürgen Klopp is suffering from a suspected bout of appendicitis.
Get well soon!

C'moon u cats
 
DS anaweza kuwa ni abu diarby mwingine
Hivi huyu DS anataka alipwe mshahara bila kufanya kazi, baada ya kuona JK hataki his silly injuries basi anataka kuondoka, sijui nani atamchukua na his injury prone.

Jana kwenye interview JK alimwambia kuwa anaelewa DS anataka kuondoka

Man city huku anafanya mambo ya ajabu nyumbani kwake ila Spurs nao wanakimbiza mwizi kimya kimya

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 
Firmino is so Good my niccaa, just needs good players around him
 
Moreno anajua kujiposition kwenye kuattaack ika hajui kufunga

Sent from my K019 using JamiiForums mobile app
 
3-4 years ago, usingeamini kama ungeambiwa M'Villa ni Sunderland player..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom