hahahaaaaaa how it goes kop?Firmino with a run down the wing, passes inside to Coutinho.. Coutinho with a delicate through ball to Teixeira, Teixeira squares it to Benteke.
Bentekeeeeee
Goal kick.

Liverpool will start progressing when hendo allen milner are merely impact players rather than first team regulars...u cant build tittle winning team kwa midfield ya hendo milner..they are water carriers who shud be in handy kweny team ambayo ina quality players kila idara..mfano ukiwa na controlling midfielders kama gundogen tielmans then u could do with one water carrier kama hendo just to do all the donkey jobs...but unapotegemea hendo to controll tempo ya mchezo thats accident waiting to happen.Wont be fuming kama tukiuza kina Allen, lovren, Sakho, Markovic and even Henderson which is highly unlikely (the point is, kwa injury problem aliyonayo Hendo, nadhan itakuwa ngumu sana kucheza kwa form yake ile ile).
But, napenda sana nimuone Lazar Markovic chini ya Klopp, bado naamini uwezo wa Markovic.
Lovren is slowly Turning his LFC career around, cant see klopp selling him summer hii..I'd keep him..
Sakho, been shit tangu alivyorudi kutoka majeruhi, but akiwa kwenye form, there's no doubt kwamba ndo our best CB kwenye squad yetu..cant see Klopp selling him yet...
Allen, well, he's fighting for his LFC career, anastahili credit za kutosha, for the past few months, he has managed to turn his LFC career around, will Klopp keep him?? mkataba wake unakaribia kuisha, and bado maongezi ya new contract hayajaanza..i'd keep him.
Kama tukiuza hawa watu, basi tunahitaji Massive Upgrade kuhusu hayo maeneo..but tbh i'd keep wote hao kwenye squad yangu...
Henderson, anacheza na maumivu, well, tunaelewa mchezaji akiwa anacheza na maumivu, huwa inakuwaje...i'd keep him though...for some reasons🙂..

4. ATTACKING FORCE
-Daniel Sturridge (fit)
-Bobby Firmino
-Danny Ings
-New signing??/Chicharito??
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!Liverpool will start progressing when hendo allen milner are merely impact players rather than first team regulars...u cant build tittle winning team kwa midfield ya hendo milner..they are water carriers who shud be in handy kweny team ambayo ina quality players kila idara..mfano ukiwa na controlling midfielders kama gundogen tielmans then u could do with one water carrier kama hendo just to do all the donkey jobs...but unapotegemea hendo to controll tempo ya mchezo thats accident waiting to happen.![]()
![]()
![]()
![]()
Lol, Big NO!!!!!Orig far far better than ings
kaka hata mimi nakukatalia hapa bila kupepesa macho....ings yuko vizuri as compared to origi aiseeOrig far far better than ings
i know it hurts, but Echo na local journos wote wanasema FSG walikuwa tayari kulipa £38m, but Klopp himself aliwaambia wasilipe hicho kiasi, (not to pay over the odds)..thats why baada tu ya dirisha kufungwa, akasema "Tuwaamini" wanaelewa wanachofanya. hela ambayo Klopp alikuwa tayar kulipa ni £24.5m, na £3m add-ons..but SD refused hiyo offer..hata Chelsea waliback-off kwenye hiyo deal..View attachment 321257 Inauama sana!
Ings mzur sana but sio kama main strikerkaka hata mimi nakukatalia hapa bila kupepesa macho....ings yuko vizuri as compared to origi aisee
Lol, Big NO!!!!!
Mie namsupport Klopp kuback off kwasababu ya high fees. Ubaya tu ni kuwa hakukuwa na option B. Lakini, £38 was too much...na expectations za kila mtu zilikuwa kubwa. Kama asingecope mapema na kuleta imediate impact, burden ingelala kwa aliyemsajili (Klopp). Tungerudi kule kule kwa BR. I think he acted rationally.i know it hurts, but Echo na local journos wote wanasema FSG walikuwa tayari kulipa £38m, but Klopp himself aliwaambia wasilipe hicho kiasi, (not to pay over the odds)..thats why baada tu ya dirisha kufungwa, akasema "Tuwaamini" wanaelewa wanachofanya. hela ambayo Klopp alikuwa tayar kulipa ni £24.5m, na £3m add-ons..but SD refused hiyo offer..hata Chelsea waliback-off kwenye hiyo deal..
baada ya ile interview aliyofanya Teixeira na Anfieldhq, ilikuwa ni ngumu sana kubaki pale SD, maelewano yake na SD yalikuwa yashaharibika tayari..
But, i cant blame him Aiseee, maanake kama Clubs za ulaya (ilianza Juve, then PSG, wakaja Chelsea, afu sisi) zilishindwana na SD katika fee, (ikumbukwe MK had to boycott trainings kipind kile ili kuforce move, Fernandinho ilimbidi aongezee hela yake mwenyewe mfukoni ili kusign Man City, Douglas Costa nae aliforce move through multiple interviews)…ni ngumu kudeal na ukranian owners (wanajiona matajiri saana)..hiyo club ya china imelipa £38m, na jamaa atakuwa joint number 10 katika list ya players wanaolipwa pesa nyingi duniani...so kama dreams zake za kucheza kwenye league kubwa zimefail, atleast mwache tu akajipoze na huo mkwanja..but sad thing ni kwamba jamaa ni 26 na ana talent kubwa sana..but tusimlaumu, he tried Aisee, owners ndo wakawa tatizo...mwache tu akapige hela, anastahili.
modern football inahitaji Versatile STs..ings can play nafas yoyote katika front 3..Ings japo muingerez but anadribble na ana very good first touch...yan kwa mtazamo wang his first touch is as good but sio main striker ambaye cc tunamuitaji
Well Well Well said brother, hakuna doubt kwamba jamaa ni talent, but hela ilikuwa nyingi sana, kulingana na expectations walizokuwa nazo fans, balaa lingeanza kama angekuwa na slow start katika league, lol..Mie namsupport Klopp kuback off kwasababu ya high fees. Ubaya tu ni kuwa hakukuwa na option B. Lakini, £38 was too much...na expectations za kila mtu zilikuwa kubwa. Kama asingecope mapema na kuleta imediate impact, burden ingelala kwa aliyemsajili (Klopp). Tungerudi kule kule kwa BR. I think he acted rationally.
Well Well Well said brother, hakuna doubt kwamba jamaa ni talent, but hela ilikuwa nyingi sana, kulingana na expectations walizokuwa nazo fans, balaa lingeanza kama angekuwa na slow start katika league, lol..
nakumbuka tangu mwanzo, Klopp alisema hatosign attacker yoyote window ya January, lakin baada ya injuries kutukamata sana, wakawa forced kuingia katika Market, na nadhan katika targets zake zote Klopp, naona Tex tu ndo alikuwa available, so wakaona wajaribu, ila fee ndiyo ilikuwa kikwazo..jamaa alisema anataka kununua quality tu, so kama tuliachana na Tex, sidhan kama angekurupuka kwa players wengine ambao hawakuwa kwenye plans zake...nadhan targets zake nyingi zitakuwa available january..though nahisi kwa Granit Xhaka kutakuwa na Bonge ya Competition..ila Klopp kasema "Money is there"..
BTW, Umepotea sana kaka, namiss sana Views zako mkuu.
lol, kwa BR ilikuwa shughuli..lakin sasa tuna manager mwenye Pulling power kubwa saaaana...naamini Klopp ndiyo mtu sahihi wa kuirudisha hii Club sehemu yake inayostahili kuwepo.Yaah, it's true kabisa mkuu, Klopp alijipanga kuisuka timu in the summer. Kinachofurahisha ni kuwa ujio wa Klopp umerahisisha sana kuattract Top Talents. Nakumbuka wakati wa BR tulikuwa tunastruggle kuattract hata mediocres!
Nipo mkuu, mambo yalinibana bana kimtindo ila nipo. Nafurahi kupata kuzipata chambuzi zako once again. Naona majeruhi wetu wameanza kirudi...coming next week squad itakuwa pana.
Kila nikikumbuka kwamba tulishawahi kusajili mpaka mtu anaitwa Philip Degen....hapo ndo nachoka kabisa! Tulimleta Aquilan akiwa kwenye machela. Hahaaaaa!!!!lol, FSG nakumbuka walimwaga hela nyingi kwa King Kenny, lakin Comedians aliowasajili Legend wetu Aisee, sitokuja sahau.
HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA!Kila nikikumbuka kwamba tulishawahi kusajili mpaka mtu anaitwa Philip Degen....hapo ndo nachoka kabisa! Tulimleta Aquilan akiwa kwenye machela. Hahaaaaa!!!!
Kiungo ya Jordan Henderso, Emre Can, Minler lazima kukimbia kuhusikeAlivokuja klopp siku ya kwanz alisema kama players watatumia akil zaid na kuweza kutumia mpira vizur then hawatakimbia sana....na leo karudia tena kasema kama players are not quick in their mind hamna jins watakimbia tu Na houlier kamwambia asiache kuwakimbiza shenzi sana wale
Kama huwez kumiliki mpira na kupiga right passes then lazm ukimbie tu