Yeah, Illori ni CB mzuri sana, i'd start him and Sakho dhidi ya Arsenal na Man utd, Subotic kawa kama Skrtel siku hizi, prone to errors na confidence yake ipo chini, ukosefu wa number ndo kigezo nahisi...akija awe backup tu, lakin wouldnt start him Vs Arsenal or Man utd.
Lkn Subotic alikosana tu na kocha pale BVB bado beki mzuri sana yule pia target yetu ingine Lucasz aliyekuwa na Klopp BVV akaenda Gala jana kasajiri StuttgartYeah, Illori ni CB mzuri sana, i'd start him and Sakho dhidi ya Arsenal na Man utd, Subotic kawa kama Skrtel siku hizi, prone to errors na confidence yake ipo chini, ukosefu wa number ndo kigezo nahisi...akija awe backup tu, lakin wouldnt start him Vs Arsenal or Man utd.
Subotic hatakiwi kuwa starter pale LFC, kiwango kimeshuka sana, and pressure ya Bundesliga ni tofauti na EPL Aisee, hasa kwa mchezaji ambaye kiwango chake hakipo vizuri but ni good addition though, tunahitaji depth.Lkn Subotic alikosana tu na kocha pale BVB bado beki mzuri sana yule pia target yetu ingine Lucasz aliyekuwa na Klopp BVV akaenda Gala jana kasajiri Stuttgart
Lol, Ibe out for a Month, hamstring
injury List
1. Coutinho
2. Lovren
3. Henderson
4. Sturridge
5. Flanaggan
6. Skrtel
7. Origi
8. Ings
9. Gomez
10. Ibe
11. Rossiter
12. Sakho (back next week)
13. Kolo (back next week)
Lol, Ibe out for a Month, hamstring
Mie kwangu top 4 ni ndoto za mchanaKwa hali hii ya majeruhi, top four ni ngumu sana kuwemo.
Mie kwangu top 4 ni ndoto za mchana
Poyeeeeee ila faida kwetu naziona nne zileeeeee HahahAha usije kufa bure mtani wangu maana nitakonda......Aiseeee too bad
Alivokuja klopp siku ya kwanz alisema kama players watatumia akil zaid na kuweza kutumia mpira vizur then hawatakimbia sana....na leo karudia tena kasema kama players are not quick in their mind hamna jins watakimbia tu Na houlier kamwambia asiache kuwakimbiza shenzi sana wale
Kama huwez kumiliki mpira na kupiga right passes then lazm ukimbie tu
Poyeeeeee ila faida kwetu naziona nne zileeeeee HahahAha usije kufa bure mtani wangu maana nitakonda......
HahahAha usijali miracle ndo hii mimi kumaliza juu yako....lolHahahhahaha mtani nasikia kuna kitu kinaitwa 'miracle' narudia tena msimu huu hammalizi juu yetu
Legless Rooney hanifungi Anfield hata kama foward atakuwa Kolo TourePoyeeeeee ila faida kwetu naziona nne zileeeeee HahahAha usije kufa bure mtani wangu maana nitakonda......