Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Alex Teixeira's off to CHINA ffs...HAHAHAHAHAHAHAAHA, he's 26...
 
hahaaaa texeira is gone with wind
1454620997814.jpg
 
Saturday itakuwa mzuka sana kama hiyo protest ya local lfc fans itaenda poa, ngoja tusubirie siye wa mbali, lol reaction ya FSG sijui itakuwaje?
 
fans wataingia uwanjani ila wameplan kuprotest the last 15 mins.....fans wote watatoka nje ya uwanja. maswali ya kujiuliza je tim itaweza kucheza bila support ya kops??
#fans are not costumers
#YNWA
 
fans wataingia uwanjani ila wameplan kuprotest the last 15 mins.....fans wote watatoka nje ya uwanja. maswali ya kujiuliza je tim itaweza kucheza bila support ya kops??
#fans are not costumers
#YNWA
dk ya 77.
 
Ongezeko la bei za ticket kumpa joto the normal one

Klop atakutana na joto la kwanza la kucheza bila mashabiki kwa takriban dkk 15 za mwisho za mchezo

Mashabiki maarufu wa Liverpool wajulikanao km Spion kop 1906 wameandaa mgomo kushinikiza wamiliki wa team kupinga ongezeko la bei za ticket kufikia £77

Mashabiki hao wamewataka mashabiki wengine wote ifikapo dakika ya 77 za mchezo wote kwa pamoja kutoka nje ya uwanja kuonyeshwa kukereka kwa bei ya viingilio kupanda

Tukio hilo litafanyika dkk ya 77 na litaambatana na ujumbe maalum utakaokuwa kwnye banners,,,

Hiyo ndo itakuwa presha ya kwanza ya klop kukutana na vichaa hao wa anfield

Katika baadhi ya tweet za spion kop 1906 zinasomeka hivi: -

"Jumamosi ndo siku pekee ya kuonyesha hisia zko kwamba hauna furaha na ongezeko la bei za viingilio uwanjan "#walkouton77

"Km club wameamua kututoza £77 kwa ajili ya kiingilio, onyesha hisia zko kwa kutoka nje ya uwanja dkk ya 77"

"Ongezeko la £13 ndani ya anfield msimu ujao,, km hauna furaha onyesha hasira zko "

"Mpk kufikia £116 kwa jukwaa kuu, Km hujafurahia onyesha hasira ....YNWA.........
 
Confirmed Liverpool's Europa League squad:

Goalkeepers: Simon Mignolet, Danny Ward

Defenders: Nathaniel Clyne, Steven Caulker, Kolo Toure, Dejan Lovren, Alberto Moreno, Mamadou Sakho, Martin Skrtel

Midfielders: Lucas Leiva, Jordan Henderson, James Milner, Emre Can, Joe Allen, Philippe Coutinho, Adam Lallana, Joao Teixeira,

Strikers: Roberto Firmino, Divock Origi, Daniel Sturridge, Christian Benteke
 
KLOPP at DORTMUND
2008-09 - 6th place
2009-10 - 5th place
2010-11 - 1st place
2011-12 - 1st place
2012-13 - 2nd place
2013-14 - 2nd place
2014-15 - 7th place.
we need to give klopp enough time kusuka kikosi cha ubingwa....mafanikio hayaji siku moja.....always takes time aisee
 
Confirmed Liverpool's Europa League squad:

Goalkeepers: Simon Mignolet, Danny Ward

Defenders: Nathaniel Clyne, Steven Caulker, Kolo Toure, Dejan Lovren, Alberto Moreno, Mamadou Sakho, Martin Skrtel

Midfielders: Lucas Leiva, Jordan Henderson, James Milner, Emre Can, Joe Allen, Philippe Coutinho, Adam Lallana, Joao Teixeira,

Strikers: Roberto Firmino, Divock Origi, Daniel Sturridge, Christian Benteke
That Midfield though, lol
 
we need to give klopp enough time kusuka kikosi cha ubingwa....mafanikio hayaji siku moja.....always takes time aisee
Yap Yap Aiseee..

Saturday will be interesting, nataka nishuhudie Reaction/Satatement ya FSG baada ya game...ile ya "Turning fans into Customers" ndo imenichekesha sana..can see wanataka kufanya malipizo ya stadium expansion, lol
 
FSG wameonyesha disrespect kubwa sana kwa mashabiki kwa hiyo kauli ya to turn fans into customerz......nategemea kuona big reaction on saturday....
 
MASSIVE CLEAR-OUT IN THE SUMMER IS NEEDED AISEEE.

Players i'd bin:
Mignolet
Bogdan
Skrtel
Kolo
Lucas
Milner
Lallana
Benteke
Enrique
Ibe (sending him out on loan)
Balotelli
Luis Alberto (he wont Cut it a LFC)
Origi (sending him Out on loan, kama tukiadd another ST)

Players i'd keep kama backup (squad players):

Allen (considering his form, but kama akiuzwa, wont be fuming)
Gomez
Henderson (YES, our captain, but kama tukiondeza 2 mids katikati (Xhaka, Gundogan/?))
Danny Ings.
Teixeira
Lovren
Markovic

First team players:
Coutinho
Can
Firmino
DS (kama akiendelea kuwa fit)
Nathaniel Clyne
Moreno (i do still believe in him, despite his recent form)
Flannagan???

Players i'd buy (Kulingana na rumours)
Ter Stegen
Laporte/Gimenez
Xhaka
Gundogan
Gotze
1 Striker
LCB cover

players i'd promote in the first team.
Brad Smith
Stewart.
Rossiter
Branno (well, kwenye cups)

Considering recent form ya Sakho kwa sasa, anafaa kuanza katika first team next season? Coz as far as i can see hatuwezi nunua 2 Cbs summer hii...
 
FSG wameonyesha disrespect kubwa sana kwa mashabiki kwa hiyo kauli ya to turn fans into customerz......nategemea kuona big reaction on saturday....
hahahahahahahahaha, walibadilisha though...
 
MY POTENTIAL SQUAD NEXT SEASON (delusion, lol)..

1. GKs
-Ter Stegen
-Danny Ward

2. BACK-LINE
-Laporte/Gimenez/Matip
-Sakho
-Lovren
-Gomez
-Clyne
-Moreno
-Flannagan
-Ben Chilwel??/Brad Smith??

3. MIDFIELD
-Xhaka
-Can
-Gundogan
-Henderson
-Grujic
-Allen
-Coutinho
-Gotze
-Joao/Markovic/piotr?

4. ATTACKING FORCE
-Daniel Sturridge (fit)
-Bobby Firmino
-Danny Ings
-New signing??/Chicharito??
 
Wont be fuming kama tukiuza kina Allen, lovren, Sakho, Markovic and even Henderson which is highly unlikely (the point is, kwa injury problem aliyonayo Hendo, nadhan itakuwa ngumu sana kucheza kwa form yake ile ile).

But, napenda sana nimuone Lazar Markovic chini ya Klopp, bado naamini uwezo wa Markovic.

Lovren is slowly Turning his LFC career around, cant see klopp selling him summer hii..I'd keep him..

Sakho, been shit tangu alivyorudi kutoka majeruhi, but akiwa kwenye form, there's no doubt kwamba ndo our best CB kwenye squad yetu..cant see Klopp selling him yet...

Allen, well, he's fighting for his LFC career, anastahili credit za kutosha, for the past few months, he has managed to turn his LFC career around, will Klopp keep him?? mkataba wake unakaribia kuisha, and bado maongezi ya new contract hayajaanza..i'd keep him.

Kama tukiuza hawa watu, basi tunahitaji Massive Upgrade kuhusu hayo maeneo..but tbh i'd keep wote hao kwenye squad yangu...

Henderson, anacheza na maumivu, well, tunaelewa mchezaji akiwa anacheza na maumivu, huwa inakuwaje...i'd keep him though...for some reasons🙂..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom