Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Dk Ni ya 17 Liverpoolfc inachheza vibaya ILA Firminho anaipatia LFC goli la Kwanza Liverpool 1-0
 
Sk 20 Firminho anamkatia Milner anakosa Ni kona kuelekea kwa Norwich.
 
Kama kawa LFC Kona kwa timu zebgine Kama wamepata Penalt Norwich wanasawazisha. Norwich 1 Liverpoolfc 1.
 
Duuh yaani LFC wamekuwa wakifungwa magoli mengi sana kwa njia ya kona
 
Norwich dk ya 35 bado wanashambulia Na Ni kona kwa Norwich tena.... Je watakaba vipi ?.. Milner anafanya foul ya upuuzi ILA refa kapeta. 1-1 dk 36
 
Dk 39 kona nyengine... Lfc wanaokoa Norwich wanarudib Na Ex Everton Player Naismith anaipatia timu yake mpya Goli la Pili Norwich 2 Liverpool 1 Lucas Na Hendo wanaachwa sokoni Na Mignolet Kama kawaida anafungwa easy.
 
Kama kipa tu tunae na hapo kaongezewa mkataba damnnnn pale si angle ya kufungwa
 
Dk 39 kona nyengine... Lfc wanaokoa Norwich wanarudib Na Ex Everton Player Naismith anaipatia timu yake mpya Goli la Pili Norwich 2 Liverpool 1 Lucas Na Hendo wanaachwa sokoni Na Mignolet Kama kawaida anafungwa easy.
Duuuh tunapigwa tena na leo
 
Dk 39 kona nyengine... Lfc wanaokoa Norwich wanarudib Na Ex Everton Player Naismith anaipatia timu yake mpya Goli la Pili Norwich 2 Liverpool 1 Lucas Na Hendo wanaachwa sokoni Na Mignolet Kama kawaida anafungwa easy.
Charles Hillary endelea kutupa update wengine tuko shambani Ikwiriri

Cc Malafyale
 
LFC wanacheza Kama hawataki ILA Na Timu za juu wanacheza kukimbiza wanatafuta mpira.. game hii wanasubiri wapi Slow ikiendelea hivi Norwich goli 4 wanauwezo kupata. Tusitegemee kupata Players kuja kuchezea Mid table timu Kama hii timu hii ya LFC Ni midtable Norwich 2 LFC 1 halftime.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom