Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mie Bado sitaki kufurahia Sana Ayre Na Shaktar kasha Fail Mara 2 Na Willian Na Jamaa WA Dortmund sasa naomba isiwe Mara ya 3 kwa Texeria sababu katika players tuliwakosa Kuna wengi nilisikitika then nikaona kumbe bora tumewakosa Kama mo salah Na Koloponkya sijui ILA Willian Na jamaa Wa Dortmund Ni vifaa tumejutia kuwakosa pengine LFC iwe Na Scout WA Shaktar jamaa wanakuwa Na Players WA Nguvu, Mie nasubiri kuona mchezaji Na jezi Na Karatasi Na Peni isije kuwa Ayre yupo Boston anafukuzwa kazi.
 
ayre should resign if he failed to land alex texeira....maana huu ushakua upuuzi kama waliweza kumnunua benteke 32.5 na caroll kwa 35 kwanini washindwe kumnunua texeira kwa 30?kumkosa huyu jamaa utakua uzembe wa hali ya juu sana.
 
Alex Texeira kuhusu kuumia sio story ya uzushi Ni kweli, ILA sio kitu cha kutisha maumivu yake tatizo maelewano ya deal, zipo timu zinapumulia kusikilizwa Wao wataleta ngapi? Tunarudi kulekule kwa Willian Na Makhatarian Na Salah ILA sasa hivi LFC wapi tayari kutoa pesa Full ILA kinachomgomesha Ayre sasa hivi Ni Maumivu ya Texeria. Ayre najaribu deal la cheap sababu itabidi wambebe hivyohivyo Na Maumivu aliyopata huko USA! Kwetu mtu kashabebwa kwa kitanda Na kabati Na radio sio kutaka House Na Shamba mazungumzo siku Moja Tu.
 
Deal vip?
The Reds will hold further talkswith Teixeira’s employers as they push to strike a deal this month.

The two clubs are said to be way apart in their valuations of the player currently, with the Ukrainian outfit looking to recoup £38million for the striker – a figure Liverpool will have to move closer towards to sign the prolific marksman.

Despite a difference of almost £14million in price, the Reds remain hopeful a deal can be reached in January and will test Shakhtar’s resolve again in the coming days
 
Lallana atakosa game ijayo (minor injury) ila yawezekana akawepo (lolote lawezekana)

The boss to our 150k

said: “The last four days were really good and he could do what he had to do. In this moment he is in a good way, but still needs time. I can’t change it.

“So there’s nothing really new in this situation – it is training. But, to be honest, the last four days were good and hopefully he can do it like this for the next four or five days and then it will have been 10 days, which is better than only two.

“Then we have to see where he is and how the situation is, and we can hopefully decide if it’s time for him.”
 
The boss to teixeira

refused to comment directly on links to Teixeira, but did say the club will enter the market if a player can be found for the long-term future of the club.
 
Mie Bado sitaki kufurahia Sana Ayre Na Shaktar kasha Fail Mara 2 Na Willian Na Jamaa WA Dortmund sasa naomba isiwe Mara ya 3 kwa Texeria sababu katika players tuliwakosa Kuna wengi nilisikitika then nikaona kumbe bora tumewakosa Kama mo salah Na Koloponkya sijui ILA Willian Na jamaa Wa Dortmund Ni vifaa tumejutia kuwakosa pengine LFC iwe Na Scout WA Shaktar jamaa wanakuwa Na Players WA Nguvu, Mie nasubiri kuona mchezaji Na jezi Na Karatasi Na Peni isije kuwa Ayre yupo Boston anafukuzwa kazi.
Jana Ayre karudi bila deal japo maongezi yanaendelea lakin history inaweza kujirudia shaktar wamekuwa wanapiga sana za babu ayre kwenye hzi deal
 
Liverpool have spent £111.2M on Lambert, Carroll, Balotelli & Benteke for 15 goals in 104 appearances (£7.4M per goal)

#lmao
 
Liverpool have spent £111.2M on Lambert, Carroll, Balotelli & Benteke for 15 goals in 104 appearances (£7.4M per goal)

#lmao
Acha uongo hiyo hela nyingine uliongezea wewe?Carroll 35 + benteke 32+ lambert 4 unapata £111.2???
 
Umemsahau ballotel
Hata ukijumlisha na 16 ya balotelli haifili huko hardly ni kama 87 sasa hizo zingine zinatokea wapi?, halafu kwenye soka siyo kuwa na fee kubwa siyo guarantee hauwezi ku floppy

Kwani torres kipindi anaenda chelsea ulitegemea ange-floppy namna ile Kama carroll? Na Kaka pale madrid?? Zlatan pale barca, di malia man utd na sheva pale chelsea?

Mchezaji kusucceed kwenye timu anayoenda kuna varieties of issie, uchezaji wa timu na timu imejengwa kuzungukia nani, mfumo wa kocha anayekuta pale

Kwahiyo linapokuja swala la kuangalia floppy, angalia na umri. lambert kaja Liverpool his home and supporting club umri ukiwaumeenda hata Fowler his second stint wasn't that great
 
My point is msipende ku-critise kwa wenzenu mkasahau kwenu, daily mna mshambulia depay as if ndio wa kwanza kufloop, wakati hata huku kwenu pia wapo na wamepita
 
My point is msipende ku-critise kwa wenzenu mkasahau kwenu, daily mna mshambulia depay as if ndio wa kwanza kufloop, wakati hata huku kwenu pia wapo na wamepita
Hahahahahhahaha kumbe wewe man utd haya bhana ila sidhani kama ulishaniona nimemcritise "new ronaldo" wenu kwanza huu ni msimu wake wa kwanza epl kuna mambo mengi ya kujifunza ili afike ile level mnayodhani anadeserve

Kama ni kuwa floppy ingekuwa vizuri akazungumziwa akiwa ameishaondoka kwenye club husika ndiyo italeta mantiki ila kuwa floppy kwenye mechi husika hilo lazima akosolewe/kupondwa kama wengine wanavyopondwa hata Smalling alikuwa anapondwa sana kwa poor performance je Smalling wa miaka hii 2 or 3 ndo yule floppy wa siku za nyuma zaidi? Toa performance dhidi ya Newcastle
 
Hahahaaa mkuu united is my team and red is my blood, we ndio shabiki wa kwanza kuona hauna negativity kwa depay, kuna watu wanamshambulia sana yule dogo as if ni mkongwe na ligi, wanasahau kwamba msimu huu wachezaji wengi wapo hovyo hata wale wakongwe na ligi,

Ilitokea kwa ozil msimu wake wa kwanza na kidgo wa pili japo ali improve kidgo lakin saiz tunamuona mambo anayoyafanya,

Depay wa PSV sio huyu wa Manchester, let's give him a time, acheni kumcritise huyu dogo aisee, mnaniboa kinoma
 
Alex TEIXEIRA Sagga.

**KLOPP asema hatutatoa hela zaidi"Disneyland Money" kwa ajili ya kumpata TEIXEIRA**

>>Boss wa Shaktar Donetsk Mircea Lucescu nitamwachia Alex kama offer itakua nzr zaidi.

>>KLOPP hata kama Chelsea nao wanamuhitaji zaidi sisi hatuwezi lipa hela zaidi "Disneyland Money" kwa presha tu ili tuwapiku wao.

>>KLOPP tutamnunua Mchezaji kwa bajeti ambayo inairuhusu Club.

>>Ripoti zadai Alex TEIXEIRA anapendelea zaidi kuja Anfield kuliko pengine popote.

>>Ripoti izo zasema ss ni kazi kwa Alex TEIXEIRA kuwapa presha Shaktar Donetsk ili wamuachie na ndio itakua njia rahisi sana yy kuuzwa,zaidi ya hapo Club inayomtaka italazimika kulipa zaidi.

>>Inadaiwa KUA KLOPP anawahadaa wafatiliaji wa mambo kwa kusema hivyo wakati Boss wake Don Mike CORDON kabaki anafatilia dili hilo.

LIVERPOOL Boss Jurgen KLOPP asema hawataweza lipa zaidi ata kama Chelsea nao wanaonyesha nia zaidi ya kumtaka Mchezaji huyo.

KLOPP akiongea Ijumaa hii amesema LIVERPOOL haijajiandaa kulipa hela zaidi "Disnyland Money" ili kuweza pata huduma ya Kijana huyo mzaliwa wa Brazil anaekipiga ktk Club ya Shaktar Donetsk,hatuwezi lipa hela hiyo kwa KUA tu tunahofia Chelsea watamchukua.

Hakuna "buy-out-clause" kwa Mchezaji huyu ambao wao wanataka kiasi cha €50m yaani ambazo ni sawa na £38m na wakati huo LIVERPOOL offer yao ya kwanza ilikua ni £24.5.

Inaripotiwa KUA LIVERPOOL wamekubali kuongeza dau mbali ya Chief Ian AYRE kuondoka lkn dili hiyo imebaki inafatiliwa na Don mwingine bwana Mike GORDON mtu ambae ana nguvu kubwa sana ktk BOD ya LFC na Ushawishi zaidi,pia anatajwa kua ni MTU mwenye hisa zaidi akishika nafasi ya pili.

Mike GORDON alibaki Frolida Kufatilia mipango hiyo na alikwenda pia mazoezini walipokua wakifanya Shaktar Donetsk.

KLOPP anasema kiasi cha £38m ambacho Shaktar Donetsk wanakitaka ni kikubwa zaidi na Club haina hela hiyo ya ziada kulipa kwa Mchezaji huyo.

Ivyo basi inategemewa KUA Alex TEIXEIRA ailazimishe Club yake iweze kumruhusu kuondoka kwa KUA LIVERPOOL wanaona KUA kiasi cha £24.5m ni sahihi zaidi kwa kijana huyo.

Pia Kijana huyo anawindwa sana na Club ya Chelsea ambayo inasemwa KUA imeanza kumfatilia kitambo sana..

>>Kwa ufupi hayo ndio yanayoendelea kujiri juu ya Sagga la Alex TEIXEIRA na uhamisho wake.

#NB inasemwa KUA KLOPP kuongea hivyo KUA hawataweza lipa zaidi ni mbinu tu ya kuwapuuza wafatiliaji wa mambo kwa KUA bado Don Mike GORDON yupo anafatilia dili hilo.

Haya ngoja tusubiri zaidi kwani kadri masaa yanavyokwenda ndio hbr mpya zazidi ibuka juu ya S agga hili.

copy & paste
 
Press conference Melwood jana,

Jk- Lallana ana Shaka kidogo tutaona baadae kwenye mazoez,,, ana maumivu kidogo,,,

Jk- nataka nilichukue hili kama lilivyo,,, amekuwa na wakati mzuri ktk siku 4 zilizopita, lkn bado anahitaji mda,,,, ni muhimu km kocha nihakikishe anakuwa fiti kabisa hivyo kuweni na subra,,,

Jk- Baada ya siku 10 ndo nitaamua kuhusu kumchezesha Daniel,,,, lkn kwa sasa acha aendelee na mazoez,,,

Jk- kuhusu Alex Teixeira kwa sasa sina cha kuwaambia,,

Jk- kuhusu usajili nilishasema km tunahitaji kufanya hivyo Itabidi tufanye

Jk- sio wakati mzuri kununua wachezaji,,, lakini Inabidi tuangalie soko
Km tunatatua tatizo basi ni lazima tujaribu kupata mchezaji,,,, lkn ni wakati mgumu

Jk- km kuna mchezaji mzuri ambae anaweza kutusaidia basi tutajaribu kumpata

Jk- kuhusu tatizo la ufungaji
Tunatakiwa kufanya maamuzi sahihi Katika wakati sahihi, mambo mengi yapo kimya lkn tunafanyia kaz

Jk- kama hufungi magoli ya kutosha basi unatakiwa uzuie kwa nidhamu

Jk- Norwich kwenye Msimamo wko nafasi ya 18 lkn ni wabunifu na wana kasi,,,,

Jk- kuhusu Ben,,,,, kila mtu aliona kwny mechi ya Exeter city,,, Ben alihusika kwny magoli mawili na alikuwa na kasi,,,, maendeleo yake ni Mazuri

Jk- anajua goli lilivyo na anajitahidi, kuna vitu tunavifanyia kazi pamoja na anajua nini tunataka,,,,

Jk- tunahitaji kuwaandaa Vijana kwa ajili ya Maisha Yao ya kimpira hatuwez kuwasahau, siwezi kusahau majina Yao,,,,
 
Norwich 0-0 Liverpoolfc dk 14 naona game LFC hawajaamka Norwich Tu ndio wanacheza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom