Hii timu ningekuwa meiie ndio mwenye timu kata Mishahara wachezaji wooooote wengine zaidi Sana mpaka wataposhinda Game 10 mfululizo... Bahati Yao ndio Kuna Sheria Tu ya malipo hawana adabu bora nikatizame mpira Magunia Pale Msasani Una Enjoy game, kuliko kutizama LFC Na hawa Players wachezaji wengi LFC Ni "Upuuuzi Class"