MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Dah, tuombe afanikishe mzee wetu...itakuwa ni bonge moja ya Signing..sana Ian ayre yupo florida sasa anajaribu kuwatongoza wamuachie
Dah, tuombe afanikishe mzee wetu...itakuwa ni bonge moja ya Signing..sana Ian ayre yupo florida sasa anajaribu kuwatongoza wamuachie
lol kumbe ni huyo Kilaza?? hahahahahahahahHahah huyo aliereport kua kapata injury mzush...ndo yule aliekua anatudanganya kipind cha mkhitaryan Kama unamkumbuka uyo artur petrosyan kweny sakata la mkhitaryan.
Yes kwa akil ya kawaid ayre hawez fly to america kama hamna uwezeakno wa dealAyre Get it done ASAP..
But david maddock amesema bid yetu 24 pound is rejected...Dah, tuombe afanikishe mzee wetu...itakuwa ni bonge moja ya Signing..
hii ni habari njema sana kama mshikaki amefunga goli 26 katika game 25 alizocheza including 3 goals in cham ligi.....im also very excited....i cant wait to see him wearing LFC jezi.lol, sitaki kuwa excited mapema hiv..but i cant believe we're getting him..Big Big Big signing..
Yes kwa akil ya kawaid ayre hawez fly to america kama hamna uwezeakno wa deal
Maddock anasema owner wa shakhtar ni billionair ambae hana shida na pesa...but shakthar imeuza willian mkhitaryn costa fernandinho in last two years So bado hope ipo
Hahah usiwe excited sana mkuu siku hizi naona kimya kimya tunafata wachezaji as Caulker habari nimeisikia asubuhi wakati was launch deal done..... Hii ya texeira ikienda poa basi summer kuna kitu kikubwa zaidilol, sitaki kuwa excited mapema hiv..but i cant believe we're getting him..Big Big Big signing..
Coutinho,firmino,texteira....itakuwa hatari tupu pale mbeleDah, tuombe afanikishe mzee wetu...itakuwa ni bonge moja ya Signing..

Najaribu kuivutia picha hiyo trio sijui itaitwa FTC, CTF, TFC whatever. Natamani kesho before breakfast iwe doneCoutinho,firmino,texteira....itakuwa hatari tupu pale mbele
Mtu Kama ibe na lallana itabidi wawe wanaenda uwanjani na madaftari kuchukua notis Sasa hv tuna kocha Mwenye ushawishi,aende na Dortmund atuletee gundogan pale kati lol![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
But david maddock amesema bid yetu 24 pound is rejected...
The Famous Red Jersey..hii ni habari njema sana kama mshikaki amefunga goli 26 katika game 25 alizocheza including 3 goals in cham ligi.....im also very excited....i cant wait to see him wearing LFC jezi.
hahahahhaahha...Hahah usiwe excited sana mkuu siku hizi naona kimya kimya tunafata wachezaji as Caulker habari nimeisikia asubuhi wakati was launch deal done..... Hii ya texeira ikienda poa basi summer kuna kitu kikubwa zaidi
Oii, afu ulipotelea wapi mazee?hii ni habari njema sana kama mshikaki amefunga goli 26 katika game 25 alizocheza including 3 goals in cham ligi.....im also very excited....i cant wait to see him wearing LFC jezi.
hahahahahahahahaCoutinho,firmino,texteira....itakuwa hatari tupu pale mbele
Mtu Kama ibe na lallana itabidi wawe wanaenda uwanjani na madaftari kuchukua notis Sasa hv tuna kocha Mwenye ushawishi,aende na Dortmund atuletee gundogan pale kati lol![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Deal kubwa hili haliend kisela Sela edNajaribu kuivutia picha hiyo trio sijui itaitwa FTC, CTF, TFC whatever. Natamani kesho before breakfast iwe done
hahahahahahaha!!!@MosDes mcheki uyu mzushi![]()