Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

1453384015901.jpg
in Klopp i trust
 
kinacho niuma ni teixeira na umri ule alitakiwa awe regular starter ila ndo hivyo bado ni academy player wakati kuna mtu kama lallana anavunja movement kwa kukaa na mpira muda mrefu
klopp naona atampa sana nafasi za cups hadi Europe league
It's means wanaweza Fanya negotiations naye
kasema anahitaj Fanya kaz na Texeira muda mrefu so anaweza mpa mkataba mpya Jana kaongea klopp
 
hivi sheria ya goal technology ikoje? ni mpaka mpira uvuke wote line? au ukivuka robo tatu tu inatosha kua goli halali?
Kisheria sio Goli sababu chukulia nje ya goli pembeni ya chalk mtu akiwahi mpira usitoke Kama hiyo Picha akaurudisha ndani ya uwanja game inaendelea kwamba haujatoka, Goal line huyo mpira unatakiwa ujae wote ndani ya goli kuvuka mstari ndio iwe Goli.
 
Teixeira/Brannagan should be starting ahead of Lallana...

Period..!
Klopp anadai atawapa time nyingi kwenye hizi tournaments amewahakikishia bright future ila amewataka wa-work hard ili waonekane EPL ila Klopp kavutiwa sana na Ojo

Jana wakati namuangalia Branagan nilikua naiona image ya Cou
 
Pearce saying Ayre asingeenda Florida US, kama LFC wasingekuwa na uhakika kuhusu hii deal ya Teixeira..nasikia Chelsea nao wanamtaka..
 
Pearce saying Ayre asingeenda Florida US, kama LFC wasingekuwa na uhakika kuhusu hii deal ya Teixeira..nasikia Chelsea nao wanamtaka..
Yeah, ilikuwa kimya kimya sana, na kulikuwa na habari kuwa we are interested in morata lets hope hiyo deal itake place as soon as possible ila nasikia jamaa amepata hamstring baada ya kusikia wew are strongly interested nae sasa sijui ni business plan ya kwenye mpira au ni Aquilan mwengine
 
Nmesoma sehemu, reliable people wanasema ni knock tu, siyo injury kubwa....then record yake ya injury inaonesha amemiss 2 days za training kwa sababu ya injuries for the past 3 years..kama hiyo ni kweli basi huyo ni new suarez wetu katika masuala ya majeruhi..hakuna kuumia mia hovyo..

Aisee, kweli tuna BIG MANAGER kwa sasa..naelewa kuwa Klopp alishawahi kumchukua MK kutoka Shaktar (unakumbuka alitupiga bao kwenye ile signing, lol), but sikufikiria kabisa kama atarud kwa Alex, Dah, Ni major Move Aisee..Ayre better wrap it up..
 
lol, sitaki kuwa excited mapema hiv..but i cant believe we're getting him..Big Big Big signing..
 
Yeah, ilikuwa kimya kimya sana, na kulikuwa na habari kuwa we are interested in morata lets hope hiyo deal itake place as soon as possible ila nasikia jamaa amepata hamstring baada ya kusikia wew are strongly interested nae sasa sijui ni business plan ya kwenye mpira au ni Aquilan mwengine

Hahah huyo aliereport kua kapata injury mzush...ndo yule aliekua anatudanganya kipind cha mkhitaryan Kama unamkumbuka uyo artur petrosyan kweny sakata la mkhitaryan.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom