MosDef tambua Kabla ya tc kuundwa br alikua na one window ambayo alifanya signings kama allen na borini..akamtaka dempsey ahead of ds.....tc ikaanza kufanya kazi january msim huo na their first signings walikua ds na cou...those two were successful ikaja summer tukawasajil kina sakho alberto ilori ambao weng walikua tc choices...baada ya br kumaliz nafas ya pili uo msim akademand more authority in transfers kama condition ya kusaini new deal...akapewa more authority na akasema kabisa kua hamna player ataekuja liver bila his approval n that he had final say ....lovren lambert lallana akawapata wote hawa for 55mtln pound
mwaka 2012, ndiyo mwaka ambao Rodgers alikuwa ayppointed kama LFC manager, but kabla ya hapo ikumbukwe FSG walikuwa wamempiga Chini Comolli, na bado walikuwa na idea ya kuendelea na D.O.F mwingine, na walikuwa wanamtaka Louis Van Gaal, but Rodgers akagoma kufanya kazi chini ya LVG, na ndiyo ilikuwa condition yake kubwa kabla ya kusign mkataba, FSG wakaachana na LVG, but itabidi ITAMBULIKE hapa kuwa, mwaka huo huo 2012, baada ya FSG kuachana na mpango wa DOF (Van Gaal), wakawaajiri Fallows (head of recruitment) na Hunter (Head of scout department) wote hawa waliajiriwa kutoka Man City, hawa waliajiriwa soon tu baada ya Rodgers kupewa kazi, so wakat Rodgers anawasajili Borini na Allen, kina Fallow walikuwepo na pia aliact kama Head of recruitment (approval yake ilikuwepo) and sababu kubwa ya Rodgers kuruhusiwa kuwasign Borini na Allen ni kwasababu alishawahi kufanya nao kazi, Allen (alimkuza kutoka Swansea), Borini (alianza nae Chelsea then Swansea), Ikumbukwe kuwa kipind Rodgers anaanza kazi, structure ya TC ndo ilikuwa inaundwa, na ilikuwa kukamilika mwaka ule ule 2012 (kabla ya january 2013) hapa ikiwajumuisha kina Edwards na Ian Ayre)..huu mpango ulikuwepo tangu Rodgers anaanza kazi, so wakat January window ya 2013 inaanza, TC ilikuwa IPO tayari, na ilianza kutekeleza majukumu yake for the first time as TC katika usajili wa 2013, but window ya ile ya August (Allen, Borini) kulikuwa na Rogders, Fallows na hunter.
Rodgers wanted Dempsey over Sturridge katika dirisha la January, na TC ilikuwa inamtaka DS, BR akapeleka mapendekezo yake kwa Mike Gordon, kina Fallows nao wakapeleka mapendekezo yao kwa Mike Gordon, FSG wakakubali kutoa hela kwa DS na limited money kwa Dempsey (walimruhusu BR kumsajili Dempsey) na ndo maana Deal ya Dempsey ilienda mpaka kwenye deadline day ambapo BR akataka kubadilishana Dempsey na Henderson, ilikuwa Henderson aende Fulham, Dempsey aje LFC, deal ikafail, Spurs wakatupiga bao..then katika Summer ya 2013, Chini ya Scout department ikiongozwa na Hunter, tukafanikiwa kumsign Luis Alberto, Aspas, katika hii summer Vita kati ya Br na TC ilikuwa ni kwa Mignolet Vs Begovic, TC ilikuwa ilisuggest Kuhusu Migs na BR alikuwa anamtaka Begovic/Vorm, kwa mara nyingine TC wakaibuka kidedea kwa Mignolet, na ikumbukwe TC signed Cissokho kwa mkopo kutoka Valencia. misunderstands kati ya BR na Committee ilianza pale Deal ya Willian, na ile ya Konoplyanka (Kono ilikuwa ni dirisha la january 2014)
Beef ikaja kushika moto summer ya 2014, ile hela ya Suarez, ikumbukwe Summer hii ndo ilifanyika Massive recruitment (Lallana, Lovren, Lambert, Balotelli, Moreno, Markovic, Emre can, Origi, Etc)..Rogders (Lallana, Lovren and Lambert), katika Window hii, Rodgers Voted NO kwa Moreno (alikuwa anamtaka Ryan Bertland), Voted NO kwa Markovic and Emre Can, and feud ilirise katika sigining ya Balotelli, hii ni baada ya Deal ya Sanchez kufail, Rodgers alikuwa anamtaka BONY, and TC walikuwa wanamtaka MB, here TC walifanikiwa kuwashawishi FSG, MB akaja LFC, (wont deny it, me ni mmoja wapo kati ya watu waliofurahia signing ya MB)..mpaka inafika January 2015, hakuna hata signing moja kati ya hizi zilizofanya vizuri, Emre Can akiwa anachezeshwa kama CB, na Moreno akiwa off and on katika kipind chote, Markovic ndo kabisa, Lallana, Lambert and Lovren ilikuwa disaster, hapo misunderstands kubwa ndo zikatokea, kila upande ukimlaumu mwenzake, nimeshaelezea huko juu kwanini Mike Gordon waliamua kum-back BR katika Summer ya 2015..
BR alipewa Authority ya kupick players wake summer ya 2014, ambapo he signed Only Lallana, lambert and Lovren, huku TC ikisign zaidi ya players 5-6, hapa bado inaonyesha ni jinsi gani alivyokuwa na limited authority, hence ndo ukawa mwanzo wa mvurugano mkubwa sana, naweza nikasema Summer ya 2015 ndo alikuwa na MAMLAKA yote, (ings, Gomez, Clyne, Benteke) TC walituletea Bobby..
The fact kuwa BR hakuwa na Say katika Transfers haifuti ile dhana ya kuwa ni SHIT na INCOMPTENT manager, na pia haifuti ubovu wa TC na FSG katika transfers, LFC tumefika hapa kwasababu ya ubovu wetu katika masuala ya usajili na mbinu na mfumo m-bovu tunaoutumia katika kufanya usajili..TC na FSG hawawezi kuepuka lawama, ile Compute programme ya Kina Edwards imepiga Chini Talents ngapi??? Club gan nyingine inatumia huo mfumo??? na the fact Rodgers alikuwa anaburuzwa na kina Fallows ni kwasababu walikuwa wanajua kuwa Hana hadhi ya kuifundisha LFC, LFC ni kubwa sana kwake, Rodgers alikuwa akiulizwa kama ana final say katika transfers alikuwa anabaki ukujiuma uma tu, leo hii hayupo LFC ndo anaongea kila kitu, WAKATI leo tu KLOPP kaulizwa (na sijui kwann mzee wa News
Ed, hajaileta humu) kama ana Final SAY katika transfers KAJIBU "NIKISEMA MCHEZAJI HAJI LFC, BASI HAJI" hiyo ndiyo hali halisi ya kuwa na BIG NAME MANAGER.