wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Bg 4 ishapotea mkuuKlop anaitaji muda kuisuka hii timu ili iweze kuendana na mentality yake, namatumaini itasukwa upya tuvute subira bado naiona big 4 nafasi ipo.
Bg 4 ishapotea mkuuKlop anaitaji muda kuisuka hii timu ili iweze kuendana na mentality yake, namatumaini itasukwa upya tuvute subira bado naiona big 4 nafasi ipo.
Chance ya kuingia big 4 bado ipo kama wataacha unyoronyoroBg 4 ishapotea mkuu
Mkuu team yetu mbovu kbsa usitake kuficha udhaifu wetu cc kwenye midfield tunamapungufu mengi sanaChance ya kuingia big 4 bado ipo kama wataacha unyoronyoro
never said Lovren is solid bro, i said he's MILES better than Fonte, and a very GOOD PASSER than Skrtel. BTW skrtel will be the first one to leave LFC before Lovren.Vp lovren?
Benteke is Shit.Bentekee akianzaa tunakua too predictable kua tutapiga cross nying na kibaya zaidi hatuna wide players ambao wanapiga cross vzuriii na kama tutaendelea hivi kila mechi benteke atakua mbeba lawama sababu hapati huduma stahiki ila inabid nae ajiongezeee hana movement za mahana
how?Bg 4 ishapotea mkuu
i hate to admit this, but tunamiss sana Work-rate ya Milner.Hamna lolote bahna wanatakiwa kujifunza kutolalamika Sana ukianguka mtu nyanyuka haraka Sio lawama nyingi ndio kuonyesha Soft wengi mpira WA siku hizi hauna ugumu vitu Kama vile ndio vinaiharibia timu Kama Arsenal ubingwa then wanabaki kulalamikia kuonewa Na refa.
Mie sioni Kama Benteke Ni shit Kama watu wanavyodai tatizo Ni Firminho na Lallana sijui kwanini Firminho halaumiwi? tuombe siku Benteke Na Sturidge wasimame pamoja.Benteke is Shit.
Timu iko vizuri mkuu ni vitu vidogo vidogo vya kuweka sawa.Bg 4 ishapotea mkuu
nilishasema humu kuwa Firmino amekuwa m-bovu since ile game ya City, but hiyo haiwezi kujustfy ubovu wa Benteke upfront.Mie sioni Kama Benteke Ni shit Kama watu wanavyodai tatizo Ni Firminho na Lallana sijui kwanini Firminho halaumiwi? tuombe siku Benteke Na Sturidge wasimame pamoja.
Akiendelea na hawa wachezaji wa Rodgers msimu ujao, CV yake yote itaharibika.Klopp bonge ya kocha just a matter of time to be tehere
Ataleta wachezaji wake na tutakuwa OK sana!Just a matter of time tu kuanza kushinda bila kubahatishaAkiendelea na hawa wachezaji wa Rodgers msimu ujao, CV yake yote itaharibika.
Itakua ngumu sana hii transition mkuuOnly Sakho, Can, Coutinho, henderson, clyne na Moreno ndiyo wanastahili kubakia LFC.
Chelsick mnategemea nini?heee yaani we ulikua unategemea top4??!!! kwa Loser fool yako mbovuu, na kloppo nae mbovuu.
westham wanagonga tu nyundo.
Kwani Brendan bado kocha liver au? @Ed n Edd nEddy
Hahahaha umenifurahisha sana aisee. Kwani benteke ana shida gani mbona hivi?Teeeehe teeehe ametuachia ma-technician players tunasumbuka tu
Benteke hafai kwenye filosofi ya Liverpool ni kama Fellaini pale kwetuBora kuwa na wachezaji waliojaa philosophy ya LVG kuliko kuwa na mchezaji mmoja caliber ya benteke this nigga is too shit