Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Moreno anapata nafasi za kutengeneza magoli wingi ya kushoto anashindwa kufanya lolote. Kwa nini Ibe asihamishiwe LW na Lallana kuingia badala ya Moreno?
Umesikiwa Fundi hehehe ILA game over hii Firminho uozo Tu. Mie top 4 pia nishaikatia tamaa pia ILA Klopp alete watu wanaoweka mguu soft wengi.
 
Only Sakho, Can, Coutinho, henderson, clyne na Moreno ndiyo wanastahili kubakia LFC.
 
Umesikiwa Fundi hehehe ILA game over hii Firminho uozo Tu. Mie top 4 pia nishaikatia tamaa pia ILA Klopp alete watu wanaoweka mguu soft wengi.

Nadhani uzuri wa Klopp utaonekana msimu ujao baada ya kuleta wachezaji wake sio hawa wa Rodgers na sijui aliyemtangulia. Mtakuwa na wachezaji ambao hawapo katika plan ya Klopp ila analazimika kuwatumia hadi atakapoleta wake.
 
heee yaani we ulikua unategemea top4??!!! kwa Loser fool yako mbovuu, na kloppo nae mbovuu.

westham wanagonga tu nyundo.
 
Nadhani uzuri wa Klopp utaonekana msimu ujao baada ya kuleta wachezaji wake sio hawa wa Rodgers na sijui aliyemtangulia. Mtakuwa na wachezaji ambao hawapo katika plan ya Klopp ila analazimika kuwatumia hadi atakapoleta wake.
True ILA Ana mtihani mgumu Sana Coutinho ataondoka.
 
Goli la kwanza nadhani lilitakiwa lisihesabike.
Hamna lolote bahna wanatakiwa kujifunza kutolalamika Sana ukianguka mtu nyanyuka haraka Sio lawama nyingi ndio kuonyesha Soft wengi mpira WA siku hizi hauna ugumu vitu Kama vile ndio vinaiharibia timu Kama Arsenal ubingwa then wanabaki kulalamikia kuonewa Na refa.
 
Niliona kama Antonio alifanya faulo kabla ya kuwin mpira. Mara nyingi wachezaji wanapodhani wamefanyiwa faulo huwa wanakuwa wagumu kurudi kukaba wakitegemea filimbi ipigwe.
 
Jogoo limeshindwa kuwika, poleni wadau ndo mpira ulivo
 
Klop anaitaji muda kuisuka hii timu ili iweze kuendana na mentality yake, namatumaini itasukwa upya tuvute subira bado naiona big 4 nafasi ipo.
 
Huwezi kushinda kwa mchezo huu
Bentekee akianzaa tunakua too predictable kua tutapiga cross nying na kibaya zaidi hatuna wide players ambao wanapiga cross vzuriii na kama tutaendelea hivi kila mechi benteke atakua mbeba lawama sababu hapati huduma stahiki ila inabid nae ajiongezeee hana movement za mahana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom