Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Exactly mkuu facial expression yake ikioneshwa benteke akipoteza mpira yuko very angry nadhani ataanza kumnyima pasi kama ilivyokuwa kwa super mario
itamuharibia hiyo, coz kwa mtindo huo hata perfomance yake inashuka, Rodgers sijui alikuwa na malengo gani kuhusu Benteke.
 
Kwa huu utaratibu wetu wa usajili it take us more than 5 years nadhani umemsikia klopp kuhusu usajili
Mie Klopp nimemsikia interview yake BBC majuzi Melwood pale kaongelea Usajili kasema hataki players WA 30m Kama anawasiwasi naye hata Kama watu wanauhakika Na huyo player, kasema Kuna Players wengi wazuri pesa kidogo Klopp afanye ya Benitez, Garcia Na Alonso hakuna aliewajua lakini wamefanya vizuri LFC kuwa Kama Wenger unatoa 20m+ only Kama player ww manager unauhakika WA nguvu sio Media imeandika Na mashabiki kutaka nani Na nani yeye ndio Fundi Na ndomana Leo wakulaumiwa Rogers Ss zamu ya Klopp wakija ndio tutajua kumlaumu au la.
 
Haya mambo pia yanachangiwa na kuwa na owners ambao hafatilii mpira, mtu kama Perez hawez kukubali kutoa £25m kwa Lallana wala £32m kwa Benteke
 
Klopp afanye lolote lile, ila ahakikishe Gundogan anakuja LFC, hata kama atacost £45m.
 
Haya mambo pia yanachangiwa na kuwa na owners ambao hafatilii mpira, mtu kama Perez hawez kukubali kutoa £25m kwa Lallana wala £32m kwa Benteke
Mkuu leo nimeumia sana aisee Yaani Westham wanachukua point 6 na goli 5 kwetu bila Shida......
 
Yaani msimu huu mimi nimeshaandika maumivu, ikiwa tofauti basi nitafurahi tu. Yaani timu inacheza unaitafuta Liverpool huioni, unajiuliza hivi hawa wachezaji ni wa Liver kweli au kuna wahuni tu wamevalishwa jersey zetu? Zamani kidogo niliwahi kumsikia mwenye timu mmoja nadhani ilikuwa timu kutoka Arusha, jina silikumbuki... alisema kwa hasira kwenye radio kuwa anavunja timu, mtangazaji akamuuliza sasa na wale wachezaji wafanyeje kama mnaifuta timu yenu? Jamaa akajibu; kila mtu aende kwa baba yake na mama yake! Yaani isingekuwa mikataba ya wazungu, hii michezaji yetu yote ilikuwa ya kuitoa baru tujue moja.
 
Timu hiyo ilikuwa inaitwa Pallssons ilikuwa inamilikiwa na tajiri wa zamani Askofu Mollel kutoka Arusha. Mkuu umenikumbusha vituko vya mpira wa Bongo.
 
Haya mambo pia yanachangiwa na kuwa na owners ambao hafatilii mpira, mtu kama Perez hawez kukubali kutoa £25m kwa Lallana wala £32m kwa Benteke
Nimetafakari Ni kweli kabisa Bora mrusi anajua mpira WA Miguu Na Mwarabu wameanza kutizama mpira toka utoto ILA American hawa wanajuwa Invest LFC wanaitumia kwa Matangazo ndomana tunaleyewa DunKin Donut Na upuuzi mwingi WA kujitangazia matangazo Yao wapate asilimia za Kula Wao... Sawa Na Mie Na ww tuwe NA Baseball timu hujui moja WAla mbili ILA unachojua nitapata faida Na pesa yangu watu wanakupa ushauri Tu yule mcheza Baseball mzuri anapiga kwa nguvu kumbe ovyo ILA hujali sababu zile asilimia za mtaji unapata kumbe wenye kuipenda timu wanaumia hawapati hata kitu zaidi ya maumivu.. henry nafikiri mpira anajua mkewe Tu sababu Linda anadamu ya kitaliano Mie pia nishawachoka.
 
Yaani msimu huu mimi nimeshaandika maumivu, ikiwa tofauti basi nitafurahi tu. Yaani timu inacheza unaitafuta Liverpool huioni, unajiuliza hivi hawa wachezaji ni wa Liver kweli au kuna wahuni tu wamevalishwa jersey zetu? Zamani kidogo niliwahi kumsikia mwenye timu mmoja nadhani ilikuwa timu kutoka Arusha, jina silikumbuki... alisema kwa hasira kwenye radio kuwa anavunja timu, mtangazaji akamuuliza sasa na wale wachezaji wafanyeje kama mnaifuta timu yenu? Jamaa akajibu; kila mtu aende kwa baba yake na mama yake! Yaani isingekuwa mikataba ya wazungu, hii michezaji yetu yote ilikuwa ya kuitoa baru tujue moja.
Timu yetu imeendelea kufanya kakosa yaleyale Migno kajitahidi kufuta makosa kadhaa ya mabeki, Moreno na Clyne bado mzimu wa kuingia na dumu la petrol mwingine kiberiti mfukoni linaendelea hawa bila kupata mbadala wao sana anaekumbuka soton wanakaa 1 6 pale nyumban kwao anajua Clyne na Moreno walikuwa wapi nihamie kwa mabeki wa kati hawa kucheza cross ni tatizo si kwa mechi ya leo tu kama ni kop halisi utakuwa unajua timu yetu tunafungwa magoli mengi ya cross nisogee kidogo nizungumzie viungo wetu Can na Lucas hawa viungo mara nyingi hawaoneshi ubunifu wao kwenye mechi zaidi wao ni wazuri kukaba lla safari kwenye eneo hili ni ndefu sana tunahitaji kiungo mtundu ndipo @MosDes kasema yafaa ata kwa pesa nyingi aje gundogan naungana nae haya nisogee mbele kidogo Countinho,firmino na ibe eneo hili naona cou kaamua kujaribu tu kupiga mashuti sio gemu ta leo tu mechi tatu mfululizo anafanya hayo nadhan kauli ya @MosDes tena yaja kua jamaa ampendi bentweke , Firmino nae bado anatafuta kuonyesha thaman yake shida tupu huyu Ibe hata simwelewagi anaoanao sana mpira wa kizamani na Benteke naamin anaendelea kujiwekea mazingira ya kuchukiwa maana achana na kukosa magoli bado anashindwa kujiposion pindi ndugu zake wakiwa na mpira mwisho nimalizie na sub mechi ya leo bench kulikuwa hakuna kitu safari ya timu yetu pendwa ni ndefu sana Kloop tutendee jambo maana timu huna naandika haya kwa majonzi makubwa
 
Midfielder mbovu haijawah tokea.na tim haina balance..ndio ttzo kubwa la team yetu
Hakuna majembe Kati enzi za wapiga mashuti ya nje hakuna, wale katafunua hakuna lazima uwe Na skills Na watu WA kazi mpaka timu ziwaogope hakuna timu inatuogopa tupo mbali Sana kwenye kuweka sawa... LFC inahitaji Halftime iwe 2-0 Ili izidi kujiamini hata dk 70 ukiwa angalau 2-0 au 3 mchezaji mdogo anapata kupewa nafasi nakucheza kwa kujiamini Kama Texeria ILA sasa hawa wakubwa hawaaminiki itakuwa wadogo? Lallana Na firminho sawa Na catwalk kwenye fashion.
 
Nimeanza kuwa mpenz wa Liverpool fc, miaka 16 iliyopita lakini sjawahi kuona Liverpool dhaifu kama hii, hii sio team ya ushindani hata kidogo na klop ili ajilindie heshima yake aanze na January hii, wachezaj waliopo hawastahili kuvaa jezi ya Liverpool hata kidogo, haiwezekan LFC leo imtegemee coutinho this is not fair, kipind team ipo chini ya Gerrald houllier tukumbuke vzur watu km kina coutinho walikua wanaanzia benchi mfano team ina watu kama igo biscan, Neil Miller, Michael Owen, Vladimir smicer, didi Herman na wengne wangap leo wangepata namba Hawa kina ibe? Klop anza usajil january hiki kikosi sio na kosa kubwa la wamiliki ni kuchelewa kumfukuza Rodgers
 
1225_1674418622598347_4929560382785168462_n.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom