Ulitaka tushinde ngapi?Kushinda mechi mbili mshawaza Ubingwa, poor you
Lucas Na Firminho wana Pasi za hospitali, LFC Mara ya mwisho kucheza vizuri Ni Southampton wachezaji wengi LFC wanaogopa kutia mguu hasa Firmnho lazima ukaze mtu hii game itaisha 1-0 au 1-1 LFC wanahitaji kucheza ugumu ugumu Na kujaribu kila Ili Westham Players waogope warudi nyuma sio kuwapa Westam moyo WA kuja ubavu wetu. Yaleyale ya tunashinda Na timu inayofungua uwanja.Lucas aangalie sana hizi pass zake tukiwa kwetu zitatugharimu
Game yetu hii kabisa kama tutaongeza fiziko kidogo tu kama anavyocheza CanLucas Na Firminho wana Pasi za hospitali, LFC Mara ya mwisho kucheza vizuri Ni Southampton wachezaji wengi LFC wanaogopa kutia mguu hasa Firmnho lazima ukaze mtu hii game itaisha 1-0 au 1-1 LFC wanahitaji kucheza ugumu ugumu Na kujaribu kila Ili Westham Players waogope warudi nyuma sio kuwapa Westam moyo WA kuja ubavu wetu. Yaleyale ya tunashinda Na timu inayofungua uwanja.
Benteke daah...sijui hata imekuaje form yake asee. Anaua motion, akiwa na ball anadelay kutoa, position za striker haonekani, anga zake za high balls kafichwa! Daah, bora tu Klopp acheze na false no.9 leoBenteke bana daaah!Klopp leta mtu pale mbele tafadhali
Klopp asichelewe kuleta mtu ili Benteke aanzie benchiBenteke daah...sijui hata imekuaje form yake asee. Anaua motion, akiwa na ball anadelay kutoa, position za striker haonekani, anga zake za high balls kafichwa! Daah, bora tu Klopp acheze na false no.9 leo
Tulia weweBenteke why katoa pasi pale?
Ah Mie kelele zangu kwa Firminho sioni anachocheza. Na tushapigwa 2-0Klopp asichelewe kuleta mtu ili Benteke aanzie benchi
Ah Mie kelele zangu kwa Firminho sioni anachocheza. Na tushapigwa 2-0
Team haina connection nzuri mbele hasa Coutihno leo hamna kitu na ukiongeza na fizikaliti ya mabeki wao Collins na Ogboana basi balaa kwetuMoreno anapata nafasi za kutengeneza magoli wingi ya kushoto anashindwa kufanya lolote. Kwa nini Ibe asihamishiwe LW na Lallana kuingia badala ya Moreno?