Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Tetesi kuwa atakuja Lucaz aliyekuwa nae BVB na sasa yupo Gala ya Uturuki ni kweli?Yule akija Benteke ata shine sana
Tetesi ambazo imeziona ni kuwa tunamtaka sana Leroy Sane (huyu mtoto baba yake alikuwa kocha wa timu ya taifa ya zanzibar) ujue ni ngumu kupata striker ambaye yupo mobile ambaye anaenda na mfumo na wachezaji wetu ndo maana hata muda gani glassyboy akae majeruhi ila akitudi tu uwanjani anatupia kwasababu anauwezo wa kucheza na space.
 
Klopp namuamini sana kwenye transaction sio kama mwehu BR

Then inabidi Sakho na Lovren waendelee kuwa patner!Skrtel's time is over(mawazo yangu)
 
Kwa type ya players tulionao ni ngumu kwa Benteke kuflourish kama suarez ama torres kwasababu

1. Tuna winger mmoja na siyo starter jordon ibe, ili benteke aweze kufanya vizuri tuna hitaji winger wa kutoa cross ambazo ata piga kwa kichwa au kutuliza kifuani na kupiga hapo benteke lazima awe bora

2. Tuna number kumi wengi ambao ni wanyumbulifu(coutinho, lallana,firmino) ambao hawachezi direct football hapo ndipo naona shida ipo kwa benteke

3. Striker ambaye anaweza kujitengenezea nafasi, kukaa na mpira na kutengeneza kwa wengine ndo striker anaweza kupata success pale anfield
Kama Danny Ings angekuwa fit angekuwa main striker msimu huu. Na angeshakuwa na goli zaidi ya 10.
 
Klopp namuamini sana kwenye transaction sio kama mwehu BR

Then inabidi Sakho na Lovren waendelee kuwa patner!Skrtel's time is over(mawazo yangu)
Ukweli ni kwamba Skrtel amechoka na ukweli ni kwamba tangu klopp amekuja Lovren amekuwa vizuri sana. Shida ya Sakhonikutaka kucheza kama CAM au striker hao watu wakipoteza mpira upfield hakuna madhara makubwa kama ambavyo Sakho alipoteza mpira

Tupo nyuma kwa points 9 kutoka kwa anayeongoza ligi na sita kwa top 4 tuna mechi ngumu January hii tuna west ham, arsenal na man utd kama tukiweza kucapitalize kwenye hizo mechi vizuri tupo kwenye top 4

Na hii tabia ya kukosa clear chances itakuja kutucost sana tumebakia wa 7 kwa sababu ya goli difference kuna nafasi ambazo tunapoteza kizembe kama magoli mawili ya Benteke aliyokosa yeye na kipa inabidi wachezaji wetu wajue hata man city walichukuwa ubingwa kwa goal difference

Na mchezaji kuwa world class siyo kuwa na talent kuuuubwa bali kuwa na maamuzi sahihi na kwa wakati muafaka hii itabidi coutinho na lallana wajifunze, Iniesta anaoneka ni bora si kwasababu ana talent kubwa bali ana maamuzi sahihi pale kwenye final third
 
Danny Ings alianza vibaya ila baada ya mechi chache alikuwa ameshachukua nafasi ya Benteke
Yaah, ni kweli. Alihitaji mda kuadapt na akafanikiwa mapema. Angecheza na three no 10's kama jana angetupia. Anaweza sana kutumia space ndogo na pia kuwahamisha defenders akawapa mwanya kina Coutinho.
 
@mak89 upo sahihi!Goli alilokosa Benteke na Leicester sekunde ya mwisho hadi leo linanikera
Na la jana je? Ile na leicester hakuwa na uwezo wakufunga bali kumtengea Lucas afunge yeye akaona bora ku-squander that opportunity la jana alikuwa anatakiwa kuchop tu hivi hawa wachezaji huwa waoni akina messi, suarez, ronaldo au lewy wanafanya nn wakibakia na kipa tu?? Wanaudhi kweli
 
...sio kila mchezaji ana uwezo wa ku chop,hilo ujue.
 
Thanx bro, lol j5 niliona unalisongesha alone kwenye game dhidi ya Sunderland, kidogo ukipewa support na @mak89, ilikuwa poa sana, coz thread haikulala..Big Up sana..

Yup Yup bro.. Ilibidi niingie dimbani kuchagiza uwanja wa nyumbani.
 
Happy 23rd birthday Flanno
 
Attachments

  • 1451646577715.jpg
    1451646577715.jpg
    23.4 KB · Views: 31

Similar Discussions

Back
Top Bottom