Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tatizo kubwa la Tim yetu nidm mwenye nguvu,pia tunakosa creative mid wa uhakika kupush tim kwenda mbele nikiwakumbuka maschareno na Alonso
 
Yap ila tujifunze kumaliza game HT presha zisiwepo siku hizi na anza kuona Kelele Anfield sauti za ushangiliaji zimerudi Kama enzi za Anfield Usiku.
 
tatizo kubwa la Tim yetu nidm mwenye nguvu,pia tunakosa creative mid wa uhakika kupush tim kwenda mbele nikiwakumbuka maschareno na Alonso
Tukitaka mtu Kama Mascherano hayupo mbali Yule Pale Kibabu cha chuma Leicester Kante.
 
Benteke tayari kacheka, Dakika ya 46. Ila hawa Sunderland wanakuja kaasi.
 
Benteke kakosa goli, yeye na kipa. Goal geter aina ya Suarez hawakosi nafasi kama zile.
 
Kabisa mkuu zile mpira unatakiwa wakauchukue kwenye nyavu... LFC 1-0 sio mbaya ukitegemea hatukucheza vizuri bora kushinda Ugly kuliko kufungwa au kucheza uzuri ufungwe. Naomba January ifike mbali kweli Mwakani.
 
Katupa points 6 ktk mechi hizi mbili!Anahitaji marekebisho kidogo sana ili awe bora duniani na Klopp atambadilisha
Kwa type ya players tulionao ni ngumu kwa Benteke kuflourish kama suarez ama torres kwasababu

1. Tuna winger mmoja na siyo starter jordon ibe, ili benteke aweze kufanya vizuri tuna hitaji winger wa kutoa cross ambazo ata piga kwa kichwa au kutuliza kifuani na kupiga hapo benteke lazima awe bora

2. Tuna number kumi wengi ambao ni wanyumbulifu(coutinho, lallana,firmino) ambao hawachezi direct football hapo ndipo naona shida ipo kwa benteke

3. Striker ambaye anaweza kujitengenezea nafasi, kukaa na mpira na kutengeneza kwa wengine ndo striker anaweza kupata success pale anfield
 
Tetesi kuwa atakuja Lucaz aliyekuwa nae BVB na sasa yupo Gala ya Uturuki ni kweli?Yule akija Benteke ata shine sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom