wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
lol, better than Howedes???
Na nin kinamfany matip kua avarage?
lol, better than Howedes???
Na nin kinamfany matip kua avarage?
Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..
utakuja kunambia hapa.
Beki anaonekana anatumia akil pale anapokua good reader of the game...na good reader of the game anajulikana kwa kua na more interceptions than tackling coz anakua ana anticipate moves nying za adui. ..pia using of the ball.lovren is nowhere near sakho kweny kutumia mpira...lovren ni hoofer kama carra..one of the worst passer of the ball..., tulifanikiwa For years coz we had Hyppia &Carra, Agger & Carra/skrtel, now tuna Skrtel & Sakho (wote nguvu), tuna Lovren (anatumia akili, a
But tukiupgrade our midfield hata defence itaimprove....individually our defenders are better than arsenal defenders...but their midfield mask their defence frailty. ....sentiments aside we need to upgrade on lucas...milner...hendo....and can...yani we need atleast two new midfielders..if we can controll midfield hata pressure in defence itapungua na attack wont be isolated.
Beki anaonekana anatumia akil pale anapokua good reader of the game...na good reader of the game anajulikana kwa kua na more interceptions than tackling coz anakua ana anticipate moves nying za adui. ..pia using of the ball.lovren is nowhere near sakho kweny kutumia mpira...lovren ni hoofer kama carra..one of the worst passer of the ball...
basi inaelekea umeanza kumfatilia Lovren aliposajiliwa na BR, aliposajiliwa BR alimpa Lovren majukumu ya Agger/Pique/Ramos/Boateng/Silva/Alex etc, kuanzisha mpira kutokea nyuma na kukitanua kusaidia kutanua kiungo, aina hii ya uchezaj huwa inahitaj Skilled Centre backs, BR signed Lovren sababu ya ubora wake katika kupiga pass na kuhamisha mipira/long balls, na kama humjui Lovren, yule Jamaa ni tackler mzuri sana, ni mara chache sana Tackles zake huwa zinasababsisha silly fouls kwenye eneo lake la hatar, the thing is BR paid hela nying kwake, na pia alimpa jamaa mambo mengi ya kufanya uwanjani kuzidi uwezo wake, ndo maana akaflop na kupoteza kujiamini kabisa, Sahiv unamuona chini ya Klopp anarudisha career yake coz kaambiwa afanye kucheza basic football, kikubwa anachofanya sasa ni kusaidia katika kuretain possession na kuanzisha pass/mipira kutokea nyuma, akiituma zaid upande wa kushoto, Skrtel kaz yake ni kumark man to man, (kitu ambacho kinamshinda) huwa anasubiria Lovren/sakho wamark kwa ajili yake, kila muda Anajituka yupo nje ya eneo lake, ndo maana kum-bull skrtel ni easy, (ighalo's goal alikuwa kamtegea Sakho)..
Centre-backs ambao hawatumii nguvu kwenye team tuona wawili tu Lovren na Gomez tu.
Koscielny ni best DF in the leagu kwa sasa, Ni yeye na Cech na wanaisaidia Arsenal, Midfield yao ni Mbovu.
LFC, ni mbovu kuanzia kwenye kiungo, Centre-backs mpaka kwa Goal Keepers...Skrtel na Migs ndo kila mmoja anaongoza kwa errors ambazo zinalead kwenye goals..huwez tegemea chochote hapo..
Na bila cech arsenal were still doing well in a league..cech amewafanya wawe tittle cotendors..but miaka yote wamekua na beki mbovu
basi inaelekea umeanza kumfatilia Lovren aliposajiliwa na BR, aliposajiliwa BR alimpa Lovren majukumu ya Agger/Pique/Ramos/Boateng/Silva/Alex etc, kuanzisha mpira kutokea nyuma na kukitanua kusaidia kutanua kiungo, aina hii ya uchezaj huwa inahitaj Skilled Centre backs, BR signed Lovren sababu ya ubora wake katika kupiga pass na kuhamisha mipira/long balls, na kama humjui Lovren, yule Jamaa ni tackler mzuri sana, ni mara chache sana Tackles zake huwa zinasababsisha silly fouls kwenye eneo lake la hatar, the thing is BR paid hela nying kwake, na pia alimpa jamaa mambo mengi ya kufanya uwanjani kuzidi uwezo wake, ndo maana akaflop na kupoteza kujiamini kabisa, Sahiv unamuona chini ya Klopp anarudisha career yake coz kaambiwa afanye kucheza basic football, kikubwa anachofanya sasa ni kusaidia katika kuretain possession na kuanzisha pass/mipira kutokea nyuma, akiituma zaid upande wa kushoto, Skrtel kaz yake ni kumark man to man, (kitu ambacho kinamshinda) huwa anasubiria Lovren/sakho wamark kwa ajili yake, kila muda Anajituka yupo nje ya eneo lake, ndo maana kum-bull skrtel ni easy, (ighalo's goal alikuwa kamtegea Sakho)..
Centre-backs ambao hawatumii nguvu kwenye team tuona wawili tu Lovren na Gomez tu.
U r being hilarious....lovren ni worst passer of the ball katika beki zetu zote ziliowah kucheza liver first team hata henchoz alikua better passer...ukinambia lovren ndo alichaguliwa kuanzisha mashambuliz lol...no wonder tumekua sio attacking team...vp lovren anaanzisha attacks??? Very poor passer..ni sakho ndo anaenzisha attacks na pasi zake..we vp jamaa..usitake kucompare passing ability kati ya lovren na sakho..ni kama vile alonso vs spearing. Lovren anabutua mda wote.

Yani hii siexegerate ila sakho anapiga pasi kuliko hata mido wetu tulio nao...skrtel pia anamzidi lovren kwa pasi...
Na kukaba man to man...hii ni trait ya all modern defenders..kukaba on front foot kwa lugha ya mpira...sakho na lovren wote wanakaba on front foot..all best cbs dunian wanakaba on front foot...skrtel ndo udhaif wake..he allows attacker to turn. Na anakua anaback off....
Nope, Cech kaongeza kitu kikubwa sana pale Arsenal, "points saving GK"
U r being hilarious....lovren ni worst passer of the ball katika beki zetu zote ziliowah kucheza liver first team hata henchoz alikua better passer...ukinambia lovren ndo alichaguliwa kuanzisha mashambuliz lol...no wonder tumekua sio attacking team...vp lovren anaanzisha attacks??? Very poor passer..ni sakho ndo anaenzisha attacks na pasi zake..we vp jamaa..usitake kucompare passing ability kati ya lovren na sakho..ni kama vile alonso vs spearing. Lovren anabutua mda wote.
Lovren wa Lyon na Soton umeuangalia??? then kuna tofauti kubwa sana ya kupiga pass kutokea nyuma na kuanzisha attacks kutokea nyuma, BR alimpa Jukumu Lovren la kuanzisha movements kutokea nyuma, hiyo inahitaji centre back mwenye uwezo wa kudribble kidogo, (we had Agger)?hichi kitu Lovren hakiwez kabisa...
Sakho ni good passer, anachofanya ni kupiga long passes kurahisisha possession na kuongeza uharaka wa movements upfront...Lovren ni mpigaji wa Long balls mzuri sana, sidhan kama kuna mtu aliyemfatilia Lovren kwa muda anaweza pinga hili (unanishangaza sana)
BR, alim-nunua Lovren akimuhitaji afanye kila alichokuwa anakifanya Agger, ndo maana akafail, na thats why BR alikuwa anaforce Partnership ya Skrtel na Lovren, akiamini Lovren atayafanya yale ya Agger...
Lol, Firmino ni Very Good passer (saaaaaana) na ni VERY GOOD DRIBBLER, (SAAAAAAANA) stats zake zinasemaje msimu kuhusu passing ability yake na dribbling?? si ningesema Firmino ni good passer/dribbler ungekuja na hayo hayo maneno coz huwa mnawajudge players wakifika kwenye team unayoshabikia, na hufatilii club zake za kabla zaid ya kuangalia stats tu.
Aisee, hilo suala la Lovren umenichekesha sana..
Yani hii siexegerate ila sakho anapiga pasi kuliko hata mido wetu tulio nao...skrtel pia anamzidi lovren kwa pasi...
Na kukaba man to man...hii ni trait ya all modern defenders..kukaba on front foot kwa lugha ya mpira...sakho na lovren wote wanakaba on front foot..all best cbs dunian wanakaba on front foot...skrtel ndo udhaif wake..he allows attacker to turn. Na anakua anaback off....
Nitajie attribute moja tu ya Good passer???
Bila cech arsenal have been consistently top 4 side pamoja na kua na poor defenders..thats my point
Lol, Skrtel ni good passer kuliko Lovren?
Lol lovren kufanya kazi ya pique haha...mtu anaogopa mpira kama moto...no composure.akipata anabutua.bora ya Skrtel

Beki yoyote duniani huwa anabutua mpira akiwa na threat mbele yake