SKRTEL's OUT FOR SIX WEEKS
Another loss
Lol, Hapana Aisee. he's shit
Hahaaa kuna muda huwa naipenda passion yake uwanjani
He's finished...past his best
hapa ndio nakupa heshima mkuu unajuwa kufuatilia LFC! chama letu game tunazoshinda ni na timu ambazo zinacheza mpira Pasi fungua, nasie ndio tuna Relax tunacheza mpira chini tunashinda ila LFC tunapatiwa na timu ikipigwa pira juu ukidunda sasa kwa mabeki wanababaika uoga, jengine kina Firminho na Lalana wakipigwa upaja chini.... ila za kuachiana kucheza mpira tunashinda. Lfc kwa Leicester ushindi upo tatizo lipo kwa Mahrez na Kasi yake ya mbio Leicester wanamtumia Mahrez Kama LFc ilivyokuwa kwa Suarez tunahitaji mtu Kama vile. Yule winger wa Dortmund black ndio LFc I nahitaji au Kama Yule na Katikati mtu katafunua. lasivyo Middle kina Firminho na Lalana kila siku beki zetu zitachoka na kuumia Kuwa na Middle mpaka beki na kipa wanakuwa Holiday ni raha.Huyo Leicester nampiga easy sababu atataka kuja Anfiekd kucheza mpira!Liverpool anasumbuka kwa team zinazo cheza fiziko
hapa ndio nakupa heshima mkuu unajuwa kufuatilia LFC! chama letu game tunazoshinda ni na timu ambazo zinacheza mpira Pasi fungua, nasie ndio tuna Relax tunacheza mpira chini tunashinda ila LFC tunapatiwa na timu ikipigwa pira juu ukidunda sasa kwa mabeki wanababaika uoga, jengine kina Firminho na Lalana wakipigwa upaja chini.... ila za kuachiana kucheza mpira tunashinda. Lfc kwa Leicester ushindi upo tatizo lipo kwa Mahrez na Kasi yake ya mbio Leicester wanamtumia Mahrez Kama LFc ilivyokuwa kwa Suarez tunahitaji mtu Kama vile. Yule winger wa Dortmund black ndio LFc I nahitaji au Kama Yule na Katikati mtu katafunua. lasivyo Middle kina Firminho na Lalana kila siku beki zetu zitachoka na kuumia Kuwa na Middle mpaka beki na kipa wanakuwa Holiday ni raha.
Na hatuna Skirtel wala Lovren, maana yake CD watasimama Sakho na Kolo. Naona dalili mbaya hii game.
Lol, Hapana Aisee. he's shit
Mkuu umewai muona matip
Yap, he's shit, unless anakuja kama Back-up, lakin akija kama Starter utakuwa ni utani.
Matip anacheza kama rio ferdinand kulingana na jinsi nilivyo muona kwenye match nying...good reader of the game na anakaba on the front foot....good on the ball...nilichoona anakosa ni kua hayuko aggressive sana anapomark.anafaa kwetu
Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..
utakuja kunambia hapa.[/QUOTE Matip,yuko njema sana Na ni mda sana hatuna MTU wa aina hiyo
Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..
utakuja kunambia hapa.
Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..
utakuja kunambia hapa.[/QUOTE Matip mzr sana
Matip ni Centre Back wa kawaida sana, siyo upgrade kwa Skrtel wala Lovren..
utakuja kunambia hapa.[/QUOTE Matip,yuko njema sana Na ni mda sana hatuna MTU wa aina hiyo
Klopp ana pulling power, kuna Young CBs wazuri sana kama kina Laporte, Gimenez etc, jaribu kwa hao kwanza, ukishindwa ndo uende kwa kina Matip.
Modern football inademand Defenders wanaotumia akili zaidi, nilishawah kueleza humu, kuwa managers wengi huwa wanamix CBs, mmoja anatumia nguvu na mwingine anacheza akili..., tulifanikiwa For years coz we had Hyppia &Carra, Agger & Carra/skrtel, now tuna Skrtel & Sakho (wote nguvu), tuna Lovren (anatumia akili, but BR alim-bebesha majukum mengine, itabid tumuone kwa klopp), Unahitaj mtu kama Varane/Marquinos/Laporte kumpartner Sakho, siyo Matip..
personally Me sijawahi kum-rate Matip, but labda kuna kitu Klopp/Buvac wamekiona..ila kwangu mimi i'd rather try kwa kina Laporte kwanza, kabla sijaja kwa Matip..pale Schalke 04 kuna Howedes..kwann usijaribu kwa Howedes???

He is better than howades ambae is good enough kucheza german national team...matip is not avarage.hata his defensive stats are better than hummels japo mie sio fan wa stats..
He is better than howades ambae is good enough kucheza german national team...matip is not avarage.hata his defensive stats are better than hummels japo mie sio fan wa stats..
lol, better than Howedes???