wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,357
Ni kweli mechi ni ngumu lakini ugumu wa mechi huanifanyi niamini kuwa tutafungwa na kinachotufanya tuone mechi ni ngumu ni rekodi ya mpinzani mpaka sasa na rekodi za wachezaji wao walio kwenye kiwango kizuri.
Naamini penye ugumu pana urahisi pia.
Endapo timu itafanya pressing ya hali ya juu na kuwa makini na mashambulizi ya kushitukiza basi pia tunaweza kuwa na mechi nzuri sana.
Endapo kiungo wetu atakaye cheza namba 6 akiwa katika utimamu waka kimwili na kiakili tunaweza kuwamudu hawa jamaa.
Ugumu wa mechi utawekwa pale mbele kwao ambapo ni safu ya ulinzi ya kwetu,kwa nini ni hivyo tunae Sakho ambaye ilionekana match fitness baada ya kutoka majeruhi ilimsumbua,lovren amepona sawa pamoja na kuwa yupo kwenye kiwango kizuri tukumbuke ya sakho alipotoka majeruhi,mignoleti nae katoka majeruhi hivyo hapo nyuma tuna watatu endapo watacheza tuombe wawe fiti asilimia walau tisini nyingine zimaliziwe na namba sita wetu.
Kitu najaribu kujiuliza chemistry ya sakho na lovren sijui itakuaje ila naamini watakua njema.
Tuombe watu wetu watakaoanza kwenye safu ya ushambuliaji wawe vizuri kwenye pressing na umaliziaji kwa maana sasa ile gengpressing imetugeukia tutafanyiwa sisi na kuazibiwa.
Imani yangu inaniambia turning point yetu ni kesho,hakuna mbwembwe tunamkarisha mtu.ynwa😄😄😄