Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Hahaaa mkuu mi sina maneno sana maana navutiwa sana na uchezaji wa Mahrez
Last edited by a moderator:
Kwa jinsi mnavyopenda kumechisha, leo lazima mtoe draw. Juzi mlikuwa 15 games, 15 points and 15th position. Leo mnacheza game ya 16, tunawatakia kila la kheri mpate hiyo 16th point.
Hahaaa mkuu mi sina maneno sana maana navutiwa sana na uchezaji wa Mahrez
We Tulia km ulivyo uone kabumbu safi leo
We Tulia km ulivyo uone kabumbu safi leo
Game ikiisha tuongee lugha moja maana tukitofautiana utakimbia jukwaa
We Tulia km ulivyo uone kabumbu safi leo
Habari za leo kaka? 16/16
Klopp kawa kopo.....
Migs anapewa mkataba mpya.
ITK's wanasema we've signed Leno, bado Vipimo tu..
January inakaribia, so acha tuone kama ni kweli.
Migs mkataba mpya duuuuihhhhh anataka asiondoke huru nini?
Leno???
Yeah, ni ITKs though, Sijui kama Leverkusen watakuwa ready kumuachia january.
Kuna tetesi nimeona wanasema tuna msign stefan kiesling january