Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Sizani Kama ni hao ndio Wenye makosa Mie naweza kusema makosa Yao kutokujua mpira wa miguu tu ila pesa walizitoa na Brendan Rogers kaziharibu kwa Players wabovu ambao Klopp anaumia kichwa ila ndio kazi yake naamini ataweka tu sawa tukubali tu msimu uishe anunue na kuuza ndio tujue Nani tatizo.

Mkuu, mbona Klopp kasema hataki wachezaji wapya kwa vile hawawezi ku-guarantee success?

I have this horrible feeling in me re Klopp's final season with B. Dortmund....alifanya vibaya sana pale na hii ilitokea baada ya kuwapoteza akina Lewandowski na Gotze.

Kuna similarity kubwa na kilichotokea kwa BR baada ya kuwapoteza Suarez na Sturridge (injury).

Or is it me???

Am not happy at all with the way things are currently panning out at Anfield kwa kweli.
 
Poleni wakuu hakuna cha mcheza kwao leo ......... ....... ..... kutuzwa.

Correction .... ...... samahani wakuu maana mpira wenu ulikwenda 10min extra time na mlipata goli la kusawazisha at 95:24 ... ....good point saved Bravo!
 
Hii game nimeiangalia tena kwa umakini mkubwa. Majogoo wamecheza vizuri, walistahili ushindi. Benteke kwa kweli yule si forward hasa kwa mipira ya juu. Mipira yote ya kichwa kapiga kama anaokoa. Heddo na coutinho wamecheza vizuri kwa kweli. Kunaitajika marekebisho madogo madogo na uzuri January ileeeeeeehhh inakuja.
 
Mnaota nyie mnafikiri Chelsea ni futuhi?

Kwa jinsi mnavyopenda kumechisha, leo lazima mtoe draw. Juzi mlikuwa 15 games, 15 points and 15th position. Leo mnacheza game ya 16, tunawatakia kila la kheri mpate hiyo 16th point.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom