weka akiba ya maneno Ed n Edd nEddy shauri yako
za asubuhi nduguNimeweka mkuu ndiyo maana sijawashirikisha mods
Flannagan set to return next week
Flannagan set to return next week
mmmmh, i doubt it, labda itakuwa anarudi katika Full training, lakini kwa matches nadhan bado, but lets wait and see, ila Sakho ndo amerud kwenye full training and Klopp amesema Kama hatopata tatizo lolote, then he'll be fit to play against Watford next weekend (20dec) ambapo na DS atakuwa fit tayari.
Fitness ya DS mi hata sina nayo guarantee kabisa
anybody kishawah muona huyu dogo Marko Grujic tunaemtaka akicheza (i mean 90mins zote?) he's 19 and price tag yake ni ?5m tu, baadhi ya watu waliomuona wanasema anacheza kama Neves wa Porto, ni target ya January, ashakutana na LFC officials for dinner na inasemekana Klopp mwenyewe alimtumia msg...anacheza league ya Serbia, na kwa upande mwingine watu wa serbia wanasema ni another Matic...kama Klopp anamuhitaji na kumrate yote kheri, lakin kwangu mimi Neves ni good option, serbia league yao ni nyepes kulinganisha na Portugal. nahis watakuwa wameenda kwenye cheaper option, and ukizingatia Neves anaogopa kumove katikati ya msimu (January)

Shida yetu inabakia kwa wale spana mkononi wawili wa mbele
mmmmh, i doubt it, labda itakuwa anarudi katika Full training, lakini kwa matches nadhan bado, but lets wait and see, ila Sakho ndo amerud kwenye full training and Klopp amesema Kama hatopata tatizo lolote, then he'll be fit to play against Watford next weekend (20dec) ambapo na DS atakuwa fit tayari.
Bado tuna deal na academy players? Neves tumemuona kwenye champions league akifanya yake tena against chelsea
Neves ni best recruit to the squad, wampe mafungu klopp kama waliyokua wanampa BR, waache kumbania wasije mbele kushikana mashati, labda kama yeye mwenyewe klopp ka opt kwa uyo Grujic