Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Yaani kaka yangu hawa ndugu zako wanatusumbua sana.......
Nina vibonzo kama mia hivi nasubiri ruhusa yako mtani
Yaani kaka yangu hawa ndugu zako wanatusumbua sana.......
Hahahahahhahhahha mzee wa philosophy bado hajapata combination bora, hivi chicharito alimkosea nini van gaal??
Chicharito anamagoli mengi kuliko striker yenu msimu huu
Si haba nako Ngoja tuendeleze mapambano.......
Walitusumbua sana kipindi sisi tumetolewa hawakujua kama litawakuta
Nina vibonzo kama mia hivi nasubiri ruhusa yako mtani
Nitakupa ban mtani......weee rusha tu ila ziwe za maadili zisiwe km za dogo mmoja alirusha kule kwetu zimeondolewa .....
Sisi hata hatukuwasumbua maana hali yetu ilikuwa mbaya waliwacheka Chelsea hao siyo thithi bana...lol
Nina vibonzo kama mia hivi nasubiri ruhusa yako mtani
Nitakupa ban mtani......weee rusha tu ila ziwe za maadili zisiwe km za dogo mmoja alirusha kule kwetu zimeondolewa .....
Nitakupa ban mtani......weee rusha tu ila ziwe za maadili zisiwe km za dogo mmoja alirusha kule kwetu zimeondolewa .....
NB kutesa kwa zamu....
Hahaaaa sikubahatika kuziona niliona unavyolalamika hizo sina zangu za kuwatoa machozi tu
Mtani nimevurugwa hadi najiquote mwenyewe. ......kumbuka mtani kutesa kwa zamu.
Najua ni philosophy za LVG zinakuchanganya hamia the reds boat
HT Liverpool 0- 0 Sion
Kuwa mpole mtani
Kama utapenda kuniliza basi wewe siyo mtu mzuri.....nilize kwa furaha tu......lol
Mtani naona mmebanwa!!.....sasa ndugu yangu si ndo naanza kujifunza kuzoea mambo ya Alhamis.
HT Liverpool 0- 0 Sion
Bila hii post yako nisinge angalia mechi yetu nilijua inaanza saa 2245