mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Ndugu yangu bana yaani unataja saa zile zile za UEFA kubwa unanipa machungu...lol
Karibuni msumbuliwe na valencia
Ndugu yangu bana yaani unataja saa zile zile za UEFA kubwa unanipa machungu...lol
Karibuni msumbuliwe na valencia
Walitusumbua sana kipindi sisi tumetolewa hawakujua kama litawakuta
Bila hii post yako nisinge angalia mechi yetu nilijua inaanza saa 2245
inatosha sasa. kila la heri
Teeeehe teeeehe mkuu mimi na nyie mpaka mtakapo toka Europe
ha ha ha msije mkatoka nyieTeeeehe teeeehe mkuu mimi na nyie mpaka mtakapo toka Europe
best, huyu asikusumbue sababu hawafiki mbali hawa teh teh tehHongera japo leo hujafanya Yale mambo yako ya amaizing .. .......
best, huyu asikusumbue sababu hawafiki mbali hawa teh teh teh
ha ha ha i wish watoke tu hawaHahahhaha Ngoja waje wakupopoe...mi simo
Hongera japo leo hujafanya Yale mambo yako ya amaizing .. .......
ha ha ha msije mkatoka nyie
best, huyu asikusumbue sababu hawafiki mbali hawa teh teh teh
mtoano ndo mwisho wenuTehee teeehe hizi ni ndoto za mchana
Hahahhaha Ngoja waje wakupopoe...mi simo
itakuwa poa sana aisee mkuuTufunge na kusali tukutane mkuu unaonaje?
FT Liverpool 0-0 sion
Panapo Majaliwa tuonane next week.....Hongereni kwa kuongoza kundi....
mtoano ndo mwisho wenu
itakuwa poa sana aisee mkuu
weka akiba ya maneno Ed n Edd nEddy shauri yakoNaamini tutakutana nyie mashindano yoyote msimu huu tukitoka kabla yenu najipiga ban hata EPL mkimaliza juu yetu najipiga ban pia