Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ngumu kumeza, lakini ndivyo inavyosemekana. Ngoja nijaribu kucopy habari yenyewe niitupie humu.

Glassboy kama hajawekeza kwenye mshahara wa bure anaopata itakula kwake, Van basten yeye alicheza kwa mafanikio mpaka 28 ila sturridge sioni kama atafika huko hakuna manager atakayekubalu kuwa na mchezaji kwa mechi 15 hadi 20 in all competition kwa msimu
 
See the reactions/comments 1449599414780.jpg 1449599435283.jpg
 
Reports on Tuesday night suggest Sturridge will be sidelined until the new year.

Press Association Sport understands Sturridge had a scan on Tuesday after complaining of an issue with his hamstring at St James? Park. The result of that scan has revealed a strain and as a result the striker will be sidelined for weeks rather than months.

After missing most of last season through injury and finally returning to action in September, this is the third injury the 26-year-old has had since Jurgen Klopp was appointed just two months ago.

Sturridge missed the Europa League home game against Bordeaux a fortnight ago, but returned to the squad against Swansea City the following weekend. He then played an hour against Southampton last week, scoring twice.

After that outing against Southampton, his first start under Klopp, Sturridge played the final half an hour in the 2-0 defeat at Newcastle on Sunday.

In total, this is the 18th injury he has had since arriving at the club less than three years ago. He has started just four times this season, and just 12 in the whole of last season.

The Reds? No. 15?s mentality has been questioned, with Klopp last month saying that he must realise the difference between ?serious pain? and ?only pain?.

Klopp did though say that sometimes with a player returning from so long on the sidelines it was ?normal? for small set-backs until full match fitness is achieved.

Liverpool play in Switzerland against FC Sion on Thursday night, before hosting West Brom at Anfield on Sunday.
 
Habari njema ni kwamba, Coutinho is in training. Perhaps anaweza akawepo ndani ya mechi.
 
Liverpool kumsign Kelvin Grosskeutz toka Galatasary on january. Kevin aliwahi kufanya kazi na Klopp pale Borussia Dortmund.
 
Hivi tatizo la Sturridge huwa ni lile lile mara zote linajirudia au ni matatizo ya majeruhi tofauti tofauti? Na hua ni mguu huo huo mmoja au ni miguu yote ina matatizo?
 
Hivi tatizo la Sturridge huwa ni lile lile mara zote linajirudia au ni matatizo ya majeruhi tofauti tofauti? Na hua ni mguu huo huo mmoja au ni miguu yote ina matatizo?

For what i know, shida yake ni harmstring tu. Kuhusu miguu sijui.
 
Ndugu zangu wa Alhamisi Mbona kimya hapa......nipo napata uzoefu kutoka Kwenu nategemea mtanifunza mengi.....wapi Ed n Edd nEddy ??? Any updates.......

Hahahahahhahhahha mzee wa philosophy bado hajapata combination bora, hivi chicharito alimkosea nini van gaal??

Chicharito anamagoli mengi kuliko striker yenu msimu huu
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom