Hivi glassboy bado mgonjwa?? Mbona teixiera hayupo hata kwenye sub?? El Magnifico
Huyu jamaa sijui ni warembo ndo amezidisha nimeona na mm kwenye comments hapa bt sport
kama siyo Rodgers, Tex angekiwa anacheza ile nafas ya Allen leo.
Huyu allen ni wakuondoka tu
What was Migs doing???
Huyu jamaa naona bado hajifunzi na makosa ya kizembe but it start with allen na back pass hatupo kwenye BR era