mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Madrid wants Alberto Moreno
Watupe casemiro
Madrid wants Alberto Moreno
Watupe casemiro
itakuwa ni biznec nzuri sana hiyo lakini Moreno itabidi abakie tu LFC, watuache na dogo wetu
Dogo yupi?, hizi timu kubwa za soain zikitaka mtu ni ngumu kuchomoa ni rahisi kumpata casemiro na tuhela tu chache kuliko kumbakiza moreno anayetakiwa na madrid ila mi naona kuna nafasi kubwa ya kwenda barcelona maana zile fullback zimechoka alves umri ndo huo umeenda na alba spana mkononi
Moreno will be ideal solution kwa barca kuliko madrid, madrid kuna carvajal, danilo na yule chizi wa kireno waliyemtoa kwa mkopo
Madrid wants Alberto Moreno
Hao jamaa nao wamezidi...duh! Yaani kila mchezaji wanamtaka?
hahahahaha, ndiyo wakubwa wa soccer hao ndugu, tutafanyaje??? hahaha
Wanaudhi sana kwa kweli...naombea Klopp akomae dogo asiondoke tujenge timu.
At least by 2017/18 tubebe UCL tena!
Aisee naomba asiondoke kabisa. Dogo mtamu sana yule. Namuona mbali sana siku za usoni. Hivi hakuna club inamtaka Mignolet?
Lol, klopp kwenye his pre-match presser kasema "sturridge has to learn what is "serious pain" and what is "just pain"..