Lmaoo, Banter era ya BR, ilikuwa noma sana, jamaa alitakiwa abaki katika level zile za 2013/2014, lakini msimu uliofata aliporomoka sana, i've to appriciate kazi iliyofanywa na kina Fallows, though Committee nayo ina matatizo yake lakin naamini ilifanikiwa kusajili top talents ambazo Klopp ananufaika nazo kwasasa,
Ni kwamba katika tenure ya BR, signings zake zilikuwa ni Borini, Allen, Aspas, Lambert, Lallana, Lovren, Luis Alberto, Joe Gomez, milner, Benteke, ings, Etc, ukiangalia hapa utagundua ni wachache sana ambao walifanikiwa kuperfome katika top level, kwangu mimi signings zilizofanikiwa za BR ni Ings (no doubt), Gomez (ukilinganisha na umri), Lallana (well, to be honest jamaa kaimprove a lot chini ya Klopp, though chini ya BR aliunderperfome sana), and offcourse Benteke (overpriced but he's getting the job done)...well, i dont rate Milner, but his hardworking imekuwa vital kwetu, but he's still SHIT. Wengine wote ni failures (bado sijamWRITE OFF LOVREN, nataka nimuone chini ya Klopp, and juzi alikuwa poa sana bado ana room ya kuimprove, only 25, ngoja tumuone)...
Committee signed, Coutinho, Sturridge, Moreno, Emre can, Sakho, Firmino, Markovic, Illori, Balotelli. etc, hapa mpaka sasa aliefail pale LFC ni Balotelli, i cant say Markovic amefail, coz hakupewa nafasi na alichezeshwa kama RWB most if the time, eneo ambalo Firmino alianza kuchezeshwa na BR mwanzoni mwa msimu (BR angekuwepo mpaka sasa Firmino yangemkuta kama ya Markovic), well as per Illori ilikuwa ni vita dhidi ya BR na committee iliyomuharibia zaidi..
BR wanted Dempsey over Sturridge
BR wanted Bertland over Moreno
BR Wanted Ashley Williams over Sakho
BR refused to sign Firmino (committee decided to overrule his vote)
BR rated Lovren over Sakho
BR decided to send markovic on loan (TURKEY despites Benfica's interest and various PL teams interests)
BR never rated Illori (was denied the chance to prove the doubters wrong)
BR wanted Davies over Moreno (when Chelsea decided to loan Bertland to southampton)
BR wanted to get rid of Lucas Leiva
BR played Can as RCB
BR refused to Sign Emre Can (similar to MB and Firmino's, his vote was overruled)
There's no doubt kuwa Committee ndo wamekuwa wakifanya biashara nzuri sana, wachezaji ambao walikuwa wanaonekana ni surplus under BR ndiyo wanaing'arisha team sahiv, unaweza ukaompna utofauti sana..
Chini ya Klopp, sidhani kama kutakuwa na Signings za kijinga, kwanza tunaanza na LEROY SANE hapo january.