Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mazee yamejaza uwanjani, hayaimbi wala hayafanyi kitu, yapo yapo, FSG itabidi wapunguze bei za tickets Aisee, atmosphere inazid kupotea
 
Been saying this for ages Mignolet is not the right GK for Liverpool
 
We're actually getting outplayed by this shit team at Anfield
 
Bordeaux fans seems to produce enough noises tena anfield??? Chanting kama wapo kwao
 
Bordeaux fans seems to produce enough noises tena anfield??? Chanting kama wapo kwao

Mazee yamejazana hapo uwanjani, tickets prices are high, young local scousers wanashindwa kuafford, ndo maana atmosphere yetu inakuwa kubwa tukiwa away, and wale wazee wa Banners wamegoma tena kuleta banners uwanjani, wanataka kuonana kwanza na higher ranking offcials wa LFC, club officials wa chini wale walikutana nao juzi, jamaa wakagoma kufanya mazungumzo nao, wanataka kuongea na "wakubwa"
 
_86903433_hero_benteke_getty.jpg


Hongereni wakuu kwa ushindi
 
poor display though...

Kitu ambacho nimekipenda pamoja na kushambuliwa sehemu kubwa ya kipindi cha pili migs hakuwa tested sana hii ina maanisha kuwa defensive midfield ilikuwa nzuri na back 4 nao walikuwa vizuri


Kwenye era ya BR sidhani kama tungeweza kuwa resilient kwa kiasi kile bila kufungwa kuna massive changes
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom