Agosti8 tayari yupo Muhimbili Dr Magufuli ameonana naye sijui kuhusu Ntuzu.Natafuta namba ya Ntuzu maana anaweza jinyonga yule ehehehe
Agosti8 tayari yupo Muhimbili Dr Magufuli ameonana naye sijui kuhusu Ntuzu.Natafuta namba ya Ntuzu maana anaweza jinyonga yule ehehehe
Hahahahaaha usitake nicheke Ntuzu nitajitahidi kumleta yupo ICU anapumulia mashine tumuombee
Uliogopa kuona radhiii hahahaaa Ed n Edd nEddy..nimejaribu kumention
Vema kwa kuweza .... Nilihofia kuipata video yako maana nisingefunga macho
Ha ha haaaa namwaga radhi
Sakho out for 6 or 8 weeks
Dooohhh, naona timu imegeuka kuwa hospital ya wagonjwa
3 years at Anfield and Mignolet hajaImprove kwa chochote
How??.....
Goal la pili lile la scott Dann si uliliona? hata goal la kwanza lile..and siyo mara ya kwanza Migs anafungwa magoli ya kawaida sana, kuna goals ambazo keeper anafungwa unasema his CBs should've done better, lakin Migs, mpira wakiushindwa CB wake, basi ujue lolote linaweza likatokea..kuna siku anaweza akawa yupo kwenye ubora wake kabisa, (everton na chelsea) but siku akiwa m-bovu ndo kabisa yaani...anahitajika keeper mwingine pale LFC, Migs itabid awe 2nd choice GK.
Magoli ya juzi sina sehemu ya kumlaumu Migs sababu marking ya CBs wetu haikuwa ya uhakika ..... We can start nice again