everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
eti leo anasema Afrika kwanza.
Hahahaha chezea kufungwa wewe lazima ukwepe mishale...
eti leo anasema Afrika kwanza.
naona Klopp kaonja ramsi EPLHahahaha chezea kufungwa wewe lazima ukwepe mishale...
Hahhahahaha nimekupenda ulivyochange mada ghafla maana ulijua kinachofuata......mtani unanikwepa sana ila pole kwa yote...lol
naona Klopp kaonja ramsi EPL
alianza na draw kama mbiliNdo kaanza kukaribishwa maana alikuwa bado......
Sijafurah kama ambavyo arsenal wangefungwa..yaani ningetembea uchi kila mahal
Binafsi huwaga sikubalianagi kabisa na notion ya eti "the best team lost" - no freaking way.
Whoever wins on the day is actually that day's best team. No kukatakata kona.
Tukubali tu kuwa our defending is rubbish. Klopp needs to fix this, and fast ama sivyo Kop itamgeuzia kibao kama mwenziwe aliyeoondoka!
Teehe mtani uko vizuri kusoma between the lines....... Nakukwepa sababu hujacheza kigodoro siku nyingi humu .... Asante mtani .... Lakini Mention yangu hujaiona humu?
eti leo anasema Afrika kwanza.
Na wewe umeingia kingi ukasahau hata lengo la kumsalimia.....hahhahahaha Ed n Edd nEddy ni nomaaa!!
nawait ajibu tena then nitampa salamu zake
Hahahaha chezea kufungwa wewe lazima ukwepe mishale...
Nimeiona leo mtani......mtani weekend ilikuendea vibaya kweli great house mpka small house chaliiii naona umeamua kuwa mzalendo tu kwa Samata na Ulimwengu....hahahaha
Binafsi huwaga sikubalianagi kabisa na notion ya eti "the best team lost" - no freaking way.
Whoever wins on the day is actually that day's best team. No kukatakata kona.
Tukubali tu kuwa our defending is rubbish. Klopp needs to fix this, and fast ama sivyo Kop itamgeuzia kibao kama mwenziwe aliyeoondoka!
Acha tu mtani amani inakosekana kote kote
naona klopp amekaribishea ramsi EPL. Yanick BolasieTupende vya kwetu mkuu ..... Black is power 😎😎😎
Hahaaaaa mtani
Saa hizi mkuu salam ziwe zinalenga hii international break tu
Ulitupania hadi lengo lako limetimia kweli
Haha ndugu yangu sikuiona hii bora hawakufungwa tu
Well said .....kunywa kapepsi kabaridi naja kulipa.....cc Malafyale
Atajifunza kitu Jana alikiri kile kitendo cha mashabiki kuondoka uwanjani kilimfanya ajihisi mpweke sana. Akipata saga kama za BR zile za last season na season hii ata-resign mwenyewe ana moyo mwepesi sana