Tumecheza vyema sana
Team bora imepoteza na ndiyo soka ilivyo!
Tumecheza vyema sana
Team bora imepoteza na ndiyo soka ilivyo!
Ed n Edd nEddy habari yako?Hahahaaa jitahid uwe unaangalia cartoon au mwambie mtani everlenk akufundishe
Klopp anahitaji marekebisho kidogo tuchukue ubingwa
Ed n Edd nEddy habari yako?
hata mimi. vijana wametufurahisha sana.Salama mkuu nafurahi kuona jinsi bendera ya Tanzania inavyopepea vyema kupitia Samatha na Ulimwengu
Salama mkuu nafurahi kuona jinsi bendera ya Tanzania inavyopepea vyema kupitia Samatha na Ulimwengu
Mkuu, sikubahatika kuona mechi yetu week hii nimeona watu wakiwa disappointed na performance ya little magician
Yaani hata JF hataki kuingia Ntuzu upatapo ujumbe huu tunakupenda tumekumiss, Ni kumfunga cha Katrina tu hiki kinapita...
Hahhahahaha nimekupenda ulivyochange mada ghafla maana ulijua kinachofuata......mtani unanikwepa sana ila pole kwa yote...lol
hata mimi. vijana wametufurahisha sana.
nawait ajibu tena then nitampa salamu zakeNa wewe umeingia kingi ukasahau hata lengo la kumsalimia.....hahhahahaha Ed n Edd nEddy ni nomaaa!!