Tuendelee kunyunyiza ubani,wameisha legea hawa
Daah hata pombe sasa hazishuki
Tunashinda game hii
Ehehehe umekuja ww msaga sumu?Point moja inawatosha....ha ha
Ehehehe umekuja ww msaga sumu?
Hawa nawapiga
Daaah hali mbaya sana kwa kweli
sio kidogo hasa ukiona Game timu inacheza vizuri then unafungwa inauma sasa nasikia na kujua maumivu ya Chelsea Sema tofauti sie hatuna wachezaji wengi wakumalizia game ndio tatizo katikati kunajuhudi ila sio ile ya majembe ya kurusha watu nakutawala uwanja katikati ya uwanja ila Klopp naona mengi anayojaribu hasa kwa Ibe sasa hivi anajuwa kwenda Mbele bila kurudi nyuma ila Lallana na firminho for me ni Boring players Kama nyuma nilivyosema January ay Summer ya msimu ujao ndio kutakuwa na timu ya kumuhukumu Klopp.Daaah hali mbaya sana kwa kweli
Daaah hali mbaya sana kwa kweli
sio kidogo hasa ukiona Game timu inacheza vizuri then unafungwa inauma sasa nasikia na kujua maumivu ya Chelsea Sema tofauti sie hatuna wachezaji wengi wakumalizia game ndio tatizo katikati kunajuhudi ila sio ile ya majembe ya kurusha watu nakutawala uwanja katikati ya uwanja ila Klopp naona mengi anayojaribu hasa kwa Ibe sasa hivi anajuwa kwenda Mbele bila kurudi nyuma ila Lallana na firminho for me ni Boring players Kama nyuma nilivyosema January ay Summer ya msimu ujao ndio kutakuwa na timu ya kumuhukumu Klopp.