Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Una Suarez,Sturrigde yupo OK na Captain G HANA maumivu hata kocha angekua Julio wa Simba angetupeleka CL football

Baada ya hapo alifanya nn?
hata Julio angekuwa na liverpool kwa timu angefanya poa.

ahaha ngoja tuone Klopp atafanya nini na yeye.
 
lmaooooo kama namuona Janjaweed alivyomaind Kuhusu hizi Reports za kurudi kwa SG anfield..
 
Last edited by a moderator:
Sema reputable sources zinasema ni kwaajili ya Training tu kama Henry alivyofanya na Arsenal kipindi kile
 
Told you aaaaaaaall...Klopp ameiambia LFC, imuangalie Markovic kwa ukaribu zaidi, Klopp rates Markovic jamaniii...sema dogo ndo kaumia huko uturuki..nje mwezi mzma

ila ts good kuona Klopp anamkubali...
 
Sema reputable sources zinasema ni kwaajili ya Training tu kama Henry alivyofanya na Arsenal kipindi kile

Hata mimi nimesoma hjvyo hivyo ila Henry alicheza epl na jezj ya arsenal
 
Hata mimi nimesoma hjvyo hivyo ila Henry alicheza epl na jezj ya arsenal

yeah, ilikuwa ni mara ya pili ile nadhan, alianza na Emirate cup eeeh??

sahiv sidhan kama SG ataiweza league, ile Slip against Chelsea ilimuharibu sana kisaikoloji...hata MLS sahv naona kunamshinda, anashindwa kucop na league.
 
mak89 unasemaje kuhusu yule Leroy Sane wa Schalke 04, nimesikia tunataka kumsajili January??
 
Last edited by a moderator:
mak89 unasemaje kuhusu yule Leroy Sane wa Schalke 04, nimesikia tunataka kumsajili January??

Huyo dogo ni attacking mid, mi nadhani angetoa nafasi kwa youngsters wa pale academy na wale wakubwa, markovic ni attacking mid, firmino, coutinho, texiteira.

Yule mtoto kent anajua sana yule nimeona kwenye liverpool echo wanasema amerudi melwood after his loan spell ended, ni bora awape nafasi isije kuwa kama BR analeta wachezaji wengi anashindwa kuwatumia

Allen, enrique, toure waondoke aisee arudishwe tiago illori apewe chance ya kuanza na sakho dogo yupo composed sana anaweza absorb pressure ya game. Yule Joe gomez mi namuona kama ana weza kuwa transformed na kuwa defensive midfielder.

Kwenye timu yetu tuna shida kwenye defense na defensive midfielder
 
Kent nasikia ni rumaz tu, hajarudi Anfield..manake watu walikuwa wanasema Klopp amemuhitaji, lakin Source kutoka Conventry alipo kwa mkopo, znasema bado yupo sana kule..

Yule sane me naona aje tu, achukue nafas ya Origi katika First team, manake pia anaweza kucheza kama wide attacker, na ukichukulia tuna shortage ya wingers sahv, wale kina Harry Wilson sidhan kama wataCut it any time soon kwenye first team, tunahitaj sana Left footed winger, and Sidhan kama Klopp atamtumia Markovic kama Winger, Markovic huwa ni mzuri akitokea katikati..syo pemben, wakat yupo Benifica alikuwa anacheza sana nyuma ya ST...

Sane atasaidia sana mbele, sahv hatutakiwi kuongeza number 10s tunao wengi sana Cou, lallana, Firmino, Tex, etc...ni kuongeza winger mmoja (left footed).. RCB, DM mmoja na LCM mmoja..

kwa january, nahis kama tukisajili, nadhan itakuwa ni huyo Sane/attacking winger mwingine..na pale katikati..

sidhan kama Howedes anaweza akamove january, ni mara chache sana clubs zinaachia macaptain wao katika dirisha la January, lakina ana buyout clause, so lets see itakuwaje..

kwa eneo la katikati naona Neves/ile number 6 ya Sevilla (ana jina gumu, atatupa tabu kulitamka kama akija)..Gundogan kama namba 8 (perfect SG's replacement) nahis tutadeal naye summer, ila sidhan kama itahappen hiyo deal, manake karudi kwenye form yake sahiv ni hatar sana, madrid/bayern/barcelona hawakawii kwenda kugonga hodi...ila kama Madrid/bayern/barcelona hawatodeal naye tuna chance kubwa ya kumchukua, tupo na Godfather wake katika dunia ya mpira, it will take just ONE PHONE CALL..

nadhan pia tutahitaj ST mwingine, Sturridge ni liability, Origi bado sana, anahitaj loan move nyingine..
 
Tungemfukuza BR mapema saa hizi tungewaacha hawa akina Man City mbalaiiii!
Jmani tuwe wakweli Klopp kocha!

BR mwehu alitaka kumuuza Lucas kwa bei chee kabisa!Kocha yule ni mwehu lzm!Lucas games hizi achukua dimba lae
ke

Sio Lucas peke yake, alitaka kumpeleka Sakho kwenda kucheza nje kwa mkopo! ...Hivi huko kwa wenzetu hamnaga hospitali za vichaa wakampime ubongo wake yule baba?
 
Sio Lucas peke yake, alitaka kumpeleka Sakho kwenda kucheza nje kwa mkopo! ...Hivi huko kwa wenzetu hamnaga hospitali za vichaa wakampime ubongo wake yule baba?

Kichaa yule
Katurudisha nyuma sana miaka yake hii 3
 
8 games....against Chelsea BR never won anyone..

1 game against Chelsea,Klopp has won it...
 
Wale Crystal palace nataka tuwapige bao kama 4 hiv...siwapendi sana wale..
 
Liverpool imeimprove sana interms ya ku contol mpira,defensive runa shida kidogo ktk kushambulia
 
Game ilivyoisha, klopp akawa anamkimbilia ibe huku anamuita "ibeyyyy ibeyyyy ibeyyyy"....hahahahahahaha, what a MANAGER
 
Liverpool imeimprove sana interms ya ku contol mpira,defensive runa shida kidogo ktk kushambulia

Firmino anacreate chances kibao, lakin ndo kwaaaanza anaanza kusettle, hii ni assist yake ya pili, benteke pamoja na kufunga bado hajakaa sawa nae, so once hawa watu wakija kusettle vizuri, goals zitakuja tu, we've got DS, benteke, Firmino, Coutinho and Lallana..Goals zitakuja tu..
 
hahaha, nmekumbuka, kipind kile Rodgers ilibidi Committee imconvince kuhusu signing ya Firmino....Hahahahaha...afu akawa anamchezesha kama LWB...hahahahah...BR bhana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom