Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lovren played well tonight, and Milner na Allen pia wote wamecheza vizuri leo..
 
Yeah mbka ssa team inacheza soka zaidi ya man city for now

Hahahhahahahhaha kwa kelele tu nawakubali mko vizuri........wapi my kaka Malafyale Hongereni naona jogoo linaanza kusimama.....mhhhhhh kiswahili kigumu mweee!!!! .....lol
 
Last edited by a moderator:
Lovren played well tonight, and Milner na Allen pia wote wamecheza vizuri leo..

Waliweza kuwavcontain vizuri sana wapinzani kitu ambacho huko nyuma kilikuwa kinatuletea shida sana! Mipira waliyofika nayo golini rubin ilikuwa michache sana! Aina hii ya uchezaji tuliimiss kwa muda mrefu sana!
 
Pia huko nyuma tulikuwa defensively very vulnerable. Kiasi kwamba goalkeeper alikuwa very exposed most of the time kwenye games zetu mpaka tukahisi labda goalkeeper ndiye only source ya kufungwa kwetu.
Ila jana tumecheza kwenye level tofauti sana! Tumepossess about 70% of the match which was veery seldom display to us.
 
Told you aaaaaaaall...Klopp ameiambia LFC, imuangalie Markovic kwa ukaribu zaidi, Klopp rates Markovic jamaniii...sema dogo ndo kaumia huko uturuki..nje mwezi mzma

ila ts good kuona Klopp anamkubali...

Marckovic ni mzuri anapocheza nafasi yake ya attacking midfielder, BR hakumpa nafasi ya kusettle kucheza kwenye hiyo nafasi badala yake akawa anampanga kucheza WB! BR alikuwa kocha wa ajabu sana.
 
..........
 

Attachments

  • 1446838509965.jpg
    1446838509965.jpg
    26 KB · Views: 168
Na Liverpool?? The glass boy na spana mkononi na benteke mbona wanatutosha, we need a striker anbaye si injury prone

Below is what the UK papers have to say about Pato & co...

One of the nice things for Liverpool fans when they got rid of Brendan Rodgers and appointed Jurgen Klopp as their new manager was that it meant they could stop buying young, vaguely promising, ultimately disappointing foreigners like Divock Origi and Lazar Markovic and instead bring in some bona-fide, world class stars like the ones that played for Dortmund when Klopp was there. So it might be slightly disappointing for those Liverpool fans to see that they are being linked today with Riccardo Saponara and Alexandre Pato.

Not that there?s anything especially wrong with those players. Saponara is a vaguely promising 23-year-old Italian midfielder, who looks like a really nice footballer in the same way that Alberto Aquilani did. Pato, meanwhile, has repeatedly proven to be ultimately disappointing at his previous clubs, although on the plus side he is vaguely promising. The Metro says that Liverpool are keen to make a January move for Saponara, who would cost ?14.2m, while the Standard reports that the Reds have reached an ?agreement in principle? to sign Pato. Brendan Rodgers will be excited.
 
Tayari Heinekken za baridi zipo tayari!
Nipe raha Klopp ambazo mpuuzi yule BR alininyima muda mrefu sana
Tunaenda kushinda bila hata wasi wasi
In Klopp we trust
 
Hii game ni tough zaidi kuliko ile ya chelsea. C.palace wapo vizuri sana. Kama tutapata hii game kwa kweli wachezaji watakuwa wamejiweka vizuri kiakili. Watazidi kujenga confidence.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom