Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahaha kwani jamaa background yake alishawahi kuwa BONDIA.....?

Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.

Alisema within four years
 
Inasemekana tunakarbia kumsign RUBEN NEVES, dogo ana miaka 18 tu ni CM/Deep laying Playmaker, hucheza mbele ya backline..wengi watakuwa wanamkumbuka kwenye ile game dhid ya Chelsea juzi hapa dhid ya Porto, dogo alikipeleka shule kiungo chote cha Chelsea na ana miaka 18 tu..inasemekana kina Fallows (committee) walianza kumfukuzia kabla hata klopp hajaja, price tag yake ni £29m..

Huyu dogo ni hatari akitua itakua shida, i smell the new Alonso in EPL
 
Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.

English media could have been lost in translation as usual due to a possible Germany-English (or English-Germany if you like) thing.

Ukimsilikiza mara mbili mbili inaonekana he might have meant a "trophy" rather than a "title"!
 
ImageUploadedByJamiiForums1444667819.570028.jpg
 
Tunaweza kupata mabadiliko~lakini tim mmejaza mashoga tele wa kingereza.kaz ya prom mpira hakuna
 
Leaked lfc training photos
 

Attachments

  • 1444780867572.jpg
    1444780867572.jpg
    50.5 KB · Views: 127
  • 1444780898060.jpg
    1444780898060.jpg
    35 KB · Views: 121
  • 1444780911430.jpg
    1444780911430.jpg
    36.3 KB · Views: 123
Lovren na Coutinho trained kuanzia jana, leo bogdan, ings, lallana, clyne na Emre can wamejiunga na wenzao.

Firmino na Benteke bado hawajaanza mazoezi, japokuwa Benteke alianza light jogging tangu last week lakin haitegemewi kama watakuwa fit dhid ya spurs
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom