mak89
JF-Expert Member
- Sep 21, 2012
- 1,072
- 914
Ameumia goti kwenye mazoezi...
We have 1 striker currently na ni origi, nadhani hii ndo itakuwa his dirst full-time debut maana sikumbuki kama kuna sehemu rogers aliwahi kumtumia from the beginning
Ameumia goti kwenye mazoezi...
kipigo cha kwanza kwa klopp leo
i wish angempanga na kolo toure kabisa hahahahaHiyo line up inatosha kutoa kipigo kwa spurs
With Origi its like klopp is forced to go hunting with a cat..leaving bull dogs and German Shepherd at home
Here we go again
...the bench looks very young as well with Ibe, Randall, Teixeira & Sinclair
Leo Furaha yupo Klopp ila kikosi bado sikiamini Spurs wanaweza kushinda 2-1 ila Kama Klopp anaweza kuwapush Players na Players wa kafanya wanachoambiwa tunaweza kushinda 2-1 muhimu in Klopp timu aisogeze pazuri angalau January tuwe hata wa 5 hivi then awatoe magarasa kwa Leo sioni ushindi ila kujituma players wanatakiwa ili Klopp ajue afanye kazi gani timu ikirudi Anfield(home)
Huyu sizani Kama nitataka atimuliwe hata akifanya vibaya Klopp anaonekana anajuwa nini anafanya anawachezesha kwa mikono wachezaji ndio inavyotakiwa Leo kwa muda mrefu nimetizama LFC bila wasiwasi hasa mabeki ila Origi ni Poor mpaka Coutinho akawa hamuamini kumpa mpira ila Leo ukitoa Lallana Kuwa Lazy na Milner kuvamia wachezaji bila Akili Leo tumecheza kwa utulivu zaidi Klopp anasoma wachezaji. Siipendi draw ila Bora draw na Spurs kuliko kutoka draw na Norwich au Sunderland.LOL. Muda si mrefu mtataka na yeye atimuliwe. Ili tuone uzuri wa Klopp mtahitaji wachezaji wengi na walio wazuri. Msimu ujao ndiyo tutaweza kuona makeke ya Klopp sio huu, akiwafikisha top 4 na wachezaji hawa itakuwa massive achievements
Huyu sizani Kama nitataka atimuliwe hata akifanya vibaya Klopp anaonekana anajuwa nini anafanya anawachezesha kwa mikono wachezaji ndio inavyotakiwa Leo kwa muda mrefu nimetizama LFC bila wasiwasi hasa mabeki ila Origi ni Poor mpaka Coutinho akawa hamuamini kumpa mpira ila Leo ukitoa Lallana Kuwa Lazy na Milner kuvamia wachezaji bila Akili Leo tumecheza kwa utulivu zaidi Klopp anasoma wachezaji. Siipendi draw ila Bora draw na Spurs kuliko kutoka draw na Norwich au Sunderland.