Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

5 goals and 3 assists, with 24 shots on target out of 54 in 16 games for #ManUnited so far...a pretty good stats for a starter 😉

HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAH

KATIKA SUMMER SIGNINGS ZENU ZOTE MSIMU HUU I'D TAKE ONLY MARTIAL AND BASTIAN, tbh sikutegemea perfomance anayoionesha Bastian Ameniprove Wrong..

but kuhusu DEPAY unaweza ukaandika kitabu KIZIMA kuhusu stats zake na ukashindwa kuniconvince
 
Klopppp my niccaaa
 
Attachments

  • 1444414602074.jpg
    1444414602074.jpg
    55.6 KB · Views: 184
Klopp "the Normal one" vs Mourinho "the special one aka the Moaning one" itafanyika lini?

Ni OCTOBER 31...Sema ana fixtures ngumu, manake anaanza na spurs, then southampton, afu hapo katikat kuna Chelsea, crystal palace, swansea na Man city...hiyo game ya chelsea, spurs, Man city ni AWAY.
 
Ni OCTOBER 31...Sema ana fixtures ngumu, manake anaanza na spurs, then southampton, afu hapo katikat kuna Chelsea, crystal palace, swansea na Man city...hiyo game ya chelsea, spurs, Man city ni AWAY.

Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.
 
Hahaha kwani jamaa background yake alishawahi kuwa BONDIA.....?
 
Kasema baada ya miaka 4 mtakuwa PL champions, wakati kapewa 3yrs contract. Tusubiri tuone ma atameza maneno yake. Jamaa ameanza na mbwembwe kama Mourinho. Afu huyu jamaa anaonekana anaweza kuweka mkono, kocha wa upinzani akimletea za kuleta anaweza kumtoa ngeu.

hahahahahahaha, hizo ni mbwembwe za kila kocha, sema tulichokuwa tunataka kukiona na ile passion inarud Anfield..

Klopp anakuwaga na mzukaaaaaa sana...naisubiri kwa ham sana game ya spurs weekend hii..
 
Sema ana fixtures ngumu, manake anaanza na spurs, then southampton, afu hapo katikat kuna Chelsea, crystal palace, swansea na Man city...hiyo game ya chelsea, spurs, Man city ni AWAY.

Hizo fixtures zina ugumu kwa the best football manager ever to exist on the Earth?!?

Mbona unaanza kuwa mdogo? Aisee, I can't wait to hear what Loserfools say about Klap if he doesn't maximum points from those games.

😂😂😂😂
 
This is football, fixtures zinakuwa ngumu kulingana na opponents unaokutana nao..

Na hakuna shabik wa LFC atakayelalamika kuhusu matokeo, kapewa team ikiwa imeshaanza msimu, nae pia atahitaj kuadjust things na kuimplement mipango yake na style ya kucheza..so huwez kumjudge kwa games 5-6 za kwanza au kwa msimu wake wa kwanza, hii ni EPL, atahitaji muda kama managers wengine..tunachofirahi hapa ni kuwa for the past 6 years LFC ilishindwa kupata mbadala halisi wa Benitez, (hodgson, daglish and Rodgers) now tumepata kocha ambaye atairudisha team kwenye hadhi yake na ile passion iliyopotea kwenye club, kwanzia kwa players mpaka kwa fans.
 
Lol, our marketing board, wameshaanza kuuza tshirts za #TheNormalOne kwenye club's online store,
 
Attachments

  • 1444431405415.jpg
    1444431405415.jpg
    9.7 KB · Views: 166
Inasemekana tunakarbia kumsign RUBEN NEVES, dogo ana miaka 18 tu ni CM/Deep laying Playmaker, hucheza mbele ya backline..wengi watakuwa wanamkumbuka kwenye ile game dhid ya Chelsea juzi hapa dhid ya Porto, dogo alikipeleka shule kiungo chote cha Chelsea na ana miaka 18 tu..inasemekana kina Fallows (committee) walianza kumfukuzia kabla hata klopp hajaja, price tag yake ni £29m..
 
And reliable ITK ambaye ni bundesliga analysit anasema we've identified Gundogan and kraus (GK) for the January window
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom