Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Joe Gomez's injury means that Ni muda wa Jose Enrique Ku-STEP UP..
 
...The BRAIN...ndani ya nyumba!

2D69B4AE00000578-3272584-Klopp_was_boosted_by_the_news_on_Wednesday_that_his_assistant_ma-a-24_1.jpg
 
**LIVERPOOL Yamnyatia "DoF" wa Juventus....??

>>TC kufa endapo dili hili litafanikiwa...??

>>Chelsea na Tottenham nao wavutiwa nae.

Transfer Committee ya Liverpool imekua gumzo sana mara kadhaa,tena ikianzia kwa Brendan Rodgers na sasa pia kwa Jürgen Klopp.

FSG hawakua tayari kuachana na mfumo wao huu na Jürgen Klopp alipoulizwa alisema hakuna tatizo kufanya kazi na TC lakini kukiwa na makubaliano maalum.

Ripoti toka Italy zinadai kua #LFC imefanya mazungumzo na Director of Football (DoF) wa Juventus bwana Fabio Paratici ili atue Anfield.

Fabio Paratici ana REKODI ya kuwapata Wachezaji kwa bei ya kawaida sana na pia anajua kuwasaka wachezaji walio huru au wanaokaribia maliza mikataba yao na kuwapeleka ktk Club yake.

Fabio Paratici amefanikisha ujio wa Paul Pogba,Andrea na Sami Khedira na wachezaji wengine kadhaa kutua ktk Club yake.

Fabio Paratici bado anajifikiria kuhusu kuachana na Juventus na bado hajaamua achukue maamuzi gani,ila pia inadaiwa kua Chelsea na Tottenham nao wanavutiwa kufanya kazi nae.

>>Ngoja tusubiri zaidi kuona nn kitajiri juu ya habari hii.

#YnwaLFC
 
Tumepatwa na majeruhi wengi mwanzoni mwa msimu tuna wachezaji kama 3 wanaweza kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu Danny Ings na gomez tutawaona msimu ujao ibe na yupo majeruhi.

BR hakuwa na mvuto kwa well established players, JK kaja hoedewes anataka kuja anfield, ilikuwa ni uamzi sahihi kuachana na rogers
 
Ibe siyo that serious kabisa..

List ya Majeruhi
1. Firmino- back in 10 days
2. Benteke - back in 12 days
3. Henderson - back in "Mid-november"
4. Flanagan - back in 2 months
5. Danny ings -back in 6-9 months (no date, basically nje masimu mzima)
6.Joe Gomez - (same as Ings)

Klopp amesema Bobby and benteke watarudi dhidi ya Southampton at Anfield.
 
This is bad news bro, Ings alikuwa ameanza kuchanganya...shit!
 
Origi anaweza akaanza leo, inategemea na maendeleo ya Sturridge leo, kama hali itakuwa ile ile kama ya jana, basi anaweza akaanzia bench, but inaonekana kuwa Origi ndo ataanza leo....sturridge's injury siyo serious sana..
 
something like this

Migs, clyne, skrtel, sakho, lucas, can, coutinho, lallana, Milner, origi.

Tex, Sinclair, Randal na Pedro wapo na team pia.
 
Leo we begin a new era. A beautiful era. Tutakuja kusimulia miaka ijayo kuwa Klopp era ilianza na mechi ya leo.

Lets go Liverpool!!!

Mechi mnaangalia wapi?
 
Nimekuwa Liverpool fan tangia mtoto lakini toa 2005 champions league final, sijawahi kuwa na furaha kama ile iliyonipata Klopp alivyotua Liverpool. I felt elated sijawahi hata ona.
 
Origi?Not conviced at all with the boy .Never seen striker's qualities from hiim.Kwakweli hata sijui kipi kizuri kimoja kilimfanyta huyu origii asajiliwe liverpool.
 
Origi?Not conviced at all with the boy .Never seen striker's qualities from hiim.Kwakweli hata sijui kipi kizuri kimoja kilimfanyta huyu origii asajiliwe liverpool.

We've no choice, nilidhan sturridge anaweza hata kumake the bench, lakini wapi, yule jamaa ni mzigo kwenye team, auzwe tu tutafute ST's wengine...
 
Line-up
...MIGNOLET; CLYNE; SKRTEL; SAKHO; MORENO; CAN; LUCAS; MILNER; LALLANA; COUTINHO; ORIGI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom