Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,622
Tatu mojaaa hahahaaaaa vipi ushapata pata nguvu?
Dah, kweli uchawi mpaka ulaya?
Tatu mojaaa hahahaaaaa vipi ushapata pata nguvu?
Dah, kweli uchawi mpaka ulaya?
Liverpool hawana kocha
Nmeshawai kusema huko nyuma kwamba Man U wanatufungaga tukiwa wazuri ko mie sina wasiwasi ukiangalia hata ile faulo na penati ni uzushi mtupu...
BR nataka afukuzwe haraka sana....
Mkuu sasa kama mpo vizuri na penalty na faulo kuwa za kizushi kwanini unataka BR aondoke??
Gerald"balloteli is destined to fail"
Kwakweli Gerrard kakosea kabisa...
Sikujua kabisa kama SG alikuwa haivi na Benitez
Jamaa tokea aondoke anafunguka kila kitu