Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Final: 1-1
Final: 1-1
Hongera mtani point 1 si haba mwenzangu. .....
Hahahhaaa asante mtani.
Hiyo avatar tu 🙂🙂:
Hahahhaha Mtani imefanyaje? Si mmekataa kuniongezea wine yangu ndo nawapigia magoti naomba nyingine?
Hapo napata hisia ya kimziki Fulani cha kihindi na mauno fulani hivi 🏃🏿🏃🏿🏃🏿
Hahahaha Mtani kumbe nawe umo ,basi siku ukichukua EPL niite tucheze kuch kuch otahe........lol
Nitazipiga za shah rhuk khan vizuri tu huku nikiimba kanyimbo kangu pendwa Dil me yai kahaahe tumse 🏃🏿🏃🏿🏃🏿
😆😆😆😆😆😆❤👄.........mtani next match mnacheza na nani?
Na hawa hapa
Kila la heri ila naona ushaanza Mashaka......