Result to improve? Hakuna playoff EPL Shauri zao watakosa hata wakununua timu mkononi Mwao.This Is Anfield
Brendan Rodgers' position at Liverpool is safe,
according to reports, with the club's owners
happy to wait for results to improve.
Huyu BR ana stress za ndoa ngoja tunamlia timing tukiendelea hivi hamalizi msimu
Leo mnacheza na nani UEFA.
Mie nilistaafu kuishabikia Liverpool nasubiri huyu lofa atimuliwe
Kushabikia Liverpool inayofundishwa na Brenda ni sawa na kushabikia mkeo kuwa mlevi... utalia tu!!
maneno mazito sana haya kiongozi
Tulicheza jana na PSV...