Rodgers kamtoa Markovic kwa mkopo, now hatuna any direct winger, sahiv anataka kumtoa Ilori kwa mkopo..
Leeds utd, Newcastle, Aston villa zilianza hivi hivi mpaka kufika huku chini zilipo, hii LFC inakoelekea inaweza ikaja kukosa hata "wanunuzi" coz brand inazidi kufifia tu..nilipoongea hapa kuwa pre-season ya sahiv ilikuwa ni ya hasara, watu wakaona nina agenda, team yetu inapoteza mvuto kwasababu ya madudu yanaoendelea pale LFC, ni kuanzia kwenye board mpaka kwenye back-room, FSG wanakkubali vipi watoto waondoke kwenye club kipuuzi puuzi?? Kolo toure anafanya nini kwenye club yetu?? Now unataka kumtoa Ilori kwa mkopo wakat first choice CB's wote ni wabovu, how can skrtel and Lovren play in that role ahead of Sakho, hata Aggrey Morris wa bongo asingefanya upuuzi kama aliofanya Lovren kwenye ile game, Yet unataka kumtoa Ilori kwa mkopo..
Na there's no way kuwa big players hawawez kuja LFC, huo ni uongo, Rodgers cant man manage Bigger player, thats kafanya awezavyo kuwaondoa kina Agger, Reina, SG, Na tunasikia kila siku kuwa kuna fall outs zinatokea kati yake na Lucas kwenye dressing rooms na melwood, coz Lucas is not a "Yes man" kama kina Milner na Lallana.:
Unacheza 4-3-3 bila any natural wings??? Firmino anachezeshwa wide? Tangu lini?? Jamaa ni mzuri akicheza behind au sambamba na ST, not Wide, kaja Firmino tukajua tutarud katika Diamond formation, lakin wapi, ST mbele peke yake haifany kazi unless uwe na pacey wingers, Sisi hatuna hao..people were slating Balotelli kuwa hawez kucheza na ni mzembe, but tunachokishuhudia kwa Benteke ndo kile kile tulichokiona kwa Balotelli, anakuwa a
ISOLETED KABISAA, game ya Westham Benteke kagusa mpira mara Tisa tu katika dk 60..MARA TISA...
Tunaweza tukawa tunamlaumu Lallana kuwa hakuna anachokifanya, kumbe ni Rodgers tu anamuharibu jamaa wa watu, Kama Firmino Ile juzi, Talents zinapotea tu, asa mchezaj kama Firmino ukishindwa kumtumia vizuri utamtumia mchezaji gani tena??..
Emre Can ni box to box MF, but anachezeshwa upande wa kulia, sambamba na Lucas, how can you get close to coutinho kwa namna hiyo?? Tupo 2-0, second half, jamaa anaswitch kwenda 2-5-3, hahaha..