Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Attachments

  • 1440886728188.jpg
    1440886728188.jpg
    25.5 KB · Views: 113
Kuna mtu humu alikuwa anatumia hiyo avatar Mr. Wise sijui kapotelewa wapi alikuwa active sana....nimetoka msalani nimesema nikusalimie.......nenda kalale huko mwache Shem darling apumzike bana!!!

Mamy bhana wew unawapendelea Liverpool..
Vigodoro vyao huvichezi kabisa.
Kuwa mzalendo pacha wangu
 
Last edited by a moderator:
Inatosha kwa leo.
Jamani watani kesho sisi maombi yenu ni muhimu
 
Attachments

  • 1440887656971.jpg
    1440887656971.jpg
    21 KB · Views: 117
Mamy bhana wew unawapendelea Liverpool..
Vigodoro vyao huvichezi kabisa.
Kuwa mzalendo pacha wangu

Hahahahaha!!!! Mummy nilikuomba leo tuwasamehe tu halafu kuna watu naheshimiana nao sana humu kwa leo nisingependa kuwaua, mumy halafu leo nimechoka na Tsunami la Ukawa mpaka u singizi nao umegoma kuja....
 
Leo nimekuvulia kiatu lol......hata kama kurithi umerithi vibaya, pacha humu tuna the Shem darling Manga ML pole sana darling, Nina kaka mpenzi kama dawa Malafyale kaka poleee Ed n Edd nEddy pole sana mtani wangu leo sikutanii nahisi nitakuua, Asprin MyLove poleee Sweet Kaizer darling pole sana njoo na Asprin niwafariji mak89 pole best MosDef sijui nikuchekeee aaah ngoja nikuhifadhi kwa leo ila unaniudhi??!!! AllLFCfans
Asante KALUMBU!!
Kusema ukweli tulistahili tuwe na oint 1 so far!Mechi tuliyocheza vyema na Arsenal tu!Stoke City na Boul tulibahatisha tu
 
awali ya yote wamiliki ------- wanawezaji kumvumilia mkuna pua utafikiri ana cv, kwa nini wasingemuacha KD ambaye alitupa kombe?

kama hasara ya andy carrol tayari br katuingiza hasara ndogo ndogo ambazo ukijumlisha inazidi big andy.

mashabiki wanaoingia anfield wamkatae br ikiwezekana wagomee mechi wamarekani wamfukuze hili jinga.

halina cv yoyote kule swansea alikuta foundation ya tik taka iliwekwa na roberto martinez.

kaja liverpool kwa mbwe mbwe za tik taka kuwafukuza players wasioendana na mifumo yake, tangu awe na kikosi kizima chake liverpool sasa tunafungwa fungwa tu 6, 3 hata na timu zakiboya na hakuna fighting spirit kajaza mabitoz kwenye timu yetu.

ni ujinga kujifariji mbona hata chelsea kafungwa, sasa kama atushindi kuongeza gap top4 tutamtoa man city?

mechi zote tulizoshinda hatukuwa comfortable, wanatushinda hata bournemouth kwa kutengeneza nafasi.
tatizo ni kocha sio kitu kingine afu anachonga sana alidai anafanyia kazi ulinzi lkn ndio tumekula 3 o clock.

kwa br kale ka sterling kanafika kutufunga, lkn enzi za KD hata kulikuwa na uzalendo nakumbuka Torres mechi yake1 vs liver alichezea vitasa na agger.
Br kawaondoa wote wenye mapenzi kabakiza passenger, Coutihno ataondoka huyu kenge akivumiliwa msimu mzima
 
BR is a genius!
 
Muuzeni mapema Dejan Lovren anafanya makosa ya kizembe sana
 
Chini ya BR records kibao zinavunjwa yaani hadi WHU naona wanashinda Anfield......

If i am Sakho I'll force a move to leave a club before the window closed ..... It just a shame to see him on bench and lovren run on the pitch.
 
Habari wanakop wenzangu..
Hakika inaumiza kupigwa nyumbani tena mbele ya wanao na majirani.
NI kweli Chelshit wamepigwa jana lakini walionekana kabisa wanatafuta ushindi. Walipiga mashuti mengi mno yaliyolenga goli. Hata Moureen alionekana kuchanganyikiwa na kuumia siyo Nosescratch wetu.
Kwa soka la kutafuta ushindi na nguvu nilolishuhudia katika mwanzo huu tutegemee kupigwa nje na ndani na :
1. Chelsea
2. Man city
3. Crystal Palace
Kama alivyosema Malafyale, ukweli tuna point moja tu. Stoke city na Bournemouth ulikuwa muujiza.
Hao watatugeuza mzunguko wa pili kama huyu mkubwa pua ataendeleza ulofa na upumbavu wake..
Asanteni na maombolezo mema.
 
Tatizo liko wapi?!! Kikosi alipanga kile wengi mnakitaka,Lucas ndani labda Lovren ndio hakufaa. Matokeo tu haya,labda tutabadilika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom