Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Leo nimekuvulia kiatu lol......hata kama kurithi umerithi vibaya, pacha humu tuna the Shem darling Manga ML pole sana darling, Nina kaka mpenzi kama dawa Malafyale kaka poleee Ed n Edd nEddy pole sana mtani wangu leo sikutanii nahisi nitakuua, Asprin MyLove poleee Sweet Kaizer darling pole sana njoo na Asprin niwafariji mak89 pole best MosDef sijui nikuchekeee aaah ngoja nikuhifadhi kwa leo ila unaniudhi??!!! AllLFCfans

Oowww kumbe Manga ML yupo humu...
Pole sana Manga ML karibu Manchester united..
Peace ama vepeee
 
Last edited by a moderator:
Halo baby iiiiii tu.. tumefungwa baby.. inaumaa uwiii ngoja nitakupigia baadae nimalizie kulia. Cc Manga ML
 
Attachments

  • 1440867199248.jpg
    1440867199248.jpg
    25.8 KB · Views: 103
Last edited by a moderator:
Duh poleni mashabiki wa humu ndani, mmefanywa vibaya leo!
 
Hivi mamy unajua wamelimwa na red card lol.
Ngoja nikavae sweta nije nikeshe humu

Mummy leo hakuna kisingizio kwamba walikuwa kumi ngoma ndroo kumi kwa kumi, halafu pacha hili jukwaa la watu wazima usikute unamcheka daddy wako....lol....tuwasamehe tu kwa leo ila kuna Mmoja huyooo sijui kajificha wapi walahi!!!!!
 
Inawezekana maana wazee ndio wanashabikia loserfool kama baba mwenye nyumba wangu kanunaa anadai kodi usiku huu huu
 
Hahahahaha leo unalo halafu ni CCM pia Mbona leo utafukuzwaa!!!! Toroka ujeeeeeee
 
Leo nimekuvulia kiatu lol......hata kama kurithi umerithi vibaya, pacha humu tuna the Shem darling Manga ML pole sana darling, Nina kaka mpenzi kama dawa Malafyale kaka poleee Ed n Edd nEddy pole sana mtani wangu leo sikutanii nahisi nitakuua, Asprin MyLove poleee Sweet Kaizer darling pole sana njoo na Asprin niwafariji mak89 pole best MosDef sijui nikuchekeee aaah ngoja nikuhifadhi kwa leo ila unaniudhi??!!! AllLFCfans
nina bahati mbaya hata kipigo cha leo sijakiona vizuri, BR ame-accelerate ugonjwa wangu ila usitucheke maana bado una mlima wa kupanda kwa swansea kesho ayew si mtu mzuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom