Leo nimekuvulia kiatu lol......hata kama kurithi umerithi vibaya, pacha humu tuna the Shem darling Manga ML pole sana darling, Nina kaka mpenzi kama dawa Malafyale kaka poleee Ed n Edd nEddy pole sana mtani wangu leo sikutanii nahisi nitakuua, Asprin MyLove poleee Sweet Kaizer darling pole sana njoo na Asprin niwafariji mak89 pole best MosDef sijui nikuchekeee aaah ngoja nikuhifadhi kwa leo ila unaniudhi??!!! AllLFCfans
Inawezekana maana wazee ndio wanashabikia loserfool kama baba mwenye nyumba wangu kanunaa anadai kodi usiku huu huu
nina bahati mbaya hata kipigo cha leo sijakiona vizuri, BR ame-accelerate ugonjwa wangu ila usitucheke maana bado una mlima wa kupanda kwa swansea kesho ayew si mtu mzuri
Shem darling tufungwe tu huyo kocha haiwezi liver anazidi kuishusha nilitamani leo iwe mechi yake ya mwisho ngoja tuone zinazo fwata
Shem darling tatizo ninyi fans hamkinukishi aisee upole umewazidi sana kama ndoa mnajua kuivumilia,juzi hizi mechi Rooney alizocheza vibaya yaani huko mitandaoni kulinuka mbaya mpaka LVG aliongelee plus Rooney mwenyewe kusema kwamba Magoli yatakuja tu, upole wenu is too much aiseee!!!!!
Mimi nimekucheka kwani best?huoni nimekupa poleee mtani wangu? Pole sana best...
Zamu yako yaja sijui utacheka?
Yata kukuta tu uje kuuliza tena
Haya pole yako imefika ila shoga yako cute b ameamua kuweka vigodoro humu leo endeleeni kutuombea tu BR afukuzwe mapema tu kabla hali haijawa mbaya maana kucheza alhamisi na weekend sidhani kama itakuwa rahisi kwetu hata kidogo.
Si mliniachia hili jukwaa kwa muda wa dk 95 hamwonekani? Najisemesha tuu mwenyewe naleta update mnasoma kimya kimya..Ahsante ila umezidi sasa ondoka
tukutane Manchester vs LiverpoolTufungwe hadi tushuke manchester hapana halipo kwa mwana liverpool yeyote
Ha ha ha umezidi natamani asibanduke mlangoni hadi kielewke
Natamani tupate matokeo ya aina hii kwa game kama sita hivi mfululizo...home and away..
Labda FSG watashtuka...
Duuu nitanenepajeee
Ow i gt you.
Poa