liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
We one cater nahisi umepotea pakuingilia rudi kinyumenyume utoke humu
Kwa hesabu za haraka haraka katimu kenu kanahitaji angalau World class player 3 ili muweze kuipata nafasi ya 4 japo akuna World class player yoyote atakaye kubali kuja timu yenu, daah nawaonea huruma maana kuna wengine mtazeeka na kufa bila kuishudia tena Liverpool ikirejea tena kucheza UEFA CHAMPIONS LEAGUE, A a a a a a a a a a..
PhD 💪💪💪💪💪
UKIACHANA NA DE GEA AMBAYE ANAONDOKA KWENDA MADRID, team yako ina world class player yupi??? Nitajie hata mchezaji wako mmoja ambaye anaweza akaanza Man city, Chelsea, Barca na madrid (Ukimtoa De Gea)..na ukimtoa Juan Mata, nitajie mchezaji wako hata mmoja ambaye anaweza akaanza LFC na Arsenal..
Hahahahaha....kwahyo kumbe ndugu umekaa unajidanganya kuwa una WC PLAYERS kwenye team yako hahahahah, unajua maana ya "WC CLASS PLAYERS" ndugu??
Inaelekea unawaongopea sana wenzako kitaa hapo..
WC player wa manure ni DE GEA tu...na anaondoka..
We one cater nahisi umepotea pakuingilia rudi kinyumenyume utoke humu
Kitu kimeja nachokuvulia kofia, ni kutojali kupoteza muda wako kubishana na chipukizi wa soka.UKIACHANA NA DE GEA AMBAYE ANAONDOKA KWENDA MADRID, team yako ina world class player yupi??? Nitajie hata mchezaji wako mmoja ambaye anaweza akaanza Man city, Chelsea, Barca na madrid (Ukimtoa De Gea)..na ukimtoa Juan Mata, nitajie mchezaji wako hata mmoja ambaye anaweza akaanza LFC na Arsenal..
Hahahahaha....kwahyo kumbe ndugu umekaa unajidanganya kuwa una WC PLAYERS kwenye team yako hahahahah, unajua maana ya "WC CLASS PLAYERS" ndugu??
Inaelekea unawaongopea sana wenzako kitaa hapo..
WC player wa manure ni DE GEA tu...na anaondoka..
UKIACHANA NA DE GEA AMBAYE ANAONDOKA KWENDA MADRID, team yako ina world class player yupi??? Nitajie hata mchezaji wako mmoja ambaye anaweza akaanza Man city, Chelsea, Barca na madrid (Ukimtoa De Gea)..na ukimtoa Juan Mata, nitajie mchezaji wako hata mmoja ambaye anaweza akaanza LFC na Arsenal..
Hahahahaha....kwahyo kumbe ndugu umekaa unajidanganya kuwa una WC PLAYERS kwenye team yako hahahahah, unajua maana ya "WC CLASS PLAYERS" ndugu??
Inaelekea unawaongopea sana wenzako kitaa hapo..
WC player wa manure ni DE GEA tu...na anaondoka..
Smalling anacheza chelsea, barca, Shaw anacheza Chelsea, City, Bastian anacheza City, Chelsea, Barcelona, Rojo anacheza City, Chelsea, Darmian anacheza chelsea, city, Madrid, Rooney anacheza chelsea, Madrid, Morgan anacheza Chelsea, Depay anacheza chelsea, city, mata anacheza city, Chelsea nikija timu yenu pale Only Coutinho,
Na skrtel ndo wanaweza wakaanza katika XI ya Everton..
UKIACHANA NA DE GEA AMBAYE ANAONDOKA KWENDA MADRID, team yako ina world class player yupi??? Nitajie hata mchezaji wako mmoja ambaye anaweza akaanza Man city, Chelsea, Barca na madrid (Ukimtoa De Gea)..na ukimtoa Juan Mata, nitajie mchezaji wako hata mmoja ambaye anaweza akaanza LFC na Arsenal..
Hahahahaha....kwahyo kumbe ndugu umekaa unajidanganya kuwa una WC PLAYERS kwenye team yako hahahahah, unajua maana ya "WC CLASS PLAYERS" ndugu??
Inaelekea unawaongopea sana wenzako kitaa hapo..
WC player wa manure ni DE GEA tu...na anaondoka..
if you kill yourself its suicide, if you kill someone its homicide but if you haven't won the premier league for 25 years.........it's MERSEYSIDE
Mkuu hongera kwa kuwa na muda wa kuchezeshana kwata na "chei-chei"
HAHAHAHAHAHAHA...jamaa kanimaliza kwa Smalling, na Mtu mzima Bastian..HAHAHAHAHAHA
Hahahahaha, ffs, Smalling???? So depay ana uwezo wa kuwabench Hazard na Pedro?, darmian ana uwezo wa kuwabench Zabaleta, Azplicueta, Danilo na carvajal??? Rojo ana uwezo wa kuwabench Otamendi, kompany, Cahill, Terry and Zouma?? Hahahahahaha, and Bastian ambaye Guardiola alisema kaisha tangu misimu miwili iliyopita akawaweke bench kina Yaya Toure, Fernandinho, Matic, Fabregas, Busquet, Raktic etc, na Rooney anamweka bench nan Chelsea pale mbele?? Costa?? Rooney anacheza wapi madrid? Kwa Benzema?? Ronaldo? bale? kroos? james rodriguez?? Hahahahah, so Morgan ni holding Mid mzuri zaid ya Matic??? UNAVUTA BANGI????
KAMA UNAVUTA BANGI ACHANA NAZO MARA MOJA.

Natumia KATECNO mchina Bruh kuandika sana sitaweza nitakujibu kwa Bastian Schweinsteiger tu, Rakitic, yahaya, fernandinho, matic, sijui wapuuzi gani uliowataja hapo wote akuna aliye anga za Bastian Schweinsteiger kama anakuwa fit 100 bila kupata majeruhi ya mara kwa mara na ilo aliprove mwaka jana tu pale kwenye ardhi yakina fernandinho, na hapa usije sema eti kazeeka, miaka 31 bado sana unajua pirlo alivyo enda kukibariki kiungo cha juventus akiwa na miaka 32, pep guardiola ni mbea tu, katafuta njia ya kuwapa uhuru ndugu zake wa hispanyola kucheza bila kubadilishwabadilishwa, a a a a a a a a a a a a a a a a a a a..
Ata sigala sijawahi vuta Bruh
Havent won it for 25 years but umenipita MAWILI TU..goes to show umechukua muda gani kufika nilikofikia mimi..
Ukitimiza UCL 5 njoo tupige story.