liverpool 1
Member
- Oct 13, 2014
- 79
- 11
Newcastle geniuz
Baada ya siku 2 Majogoo yataloweshwa Emirates afu yakiwa 11, Malafyale
Tatizo ni kukaa nje kwa Emre Can na Sakho na wala sio kuanzia au kukaa nje kwa Firminho!Firmino will be starting today.
Tatizo ni kukaa nje kwa Emre Can na Sakho na wala sio kuanzia au kukaa nje kwa Firminho!
BR kichaa huyu na hizi clean sheet 2 zinamdanganya sana
Lucas anaenda Besiktas, loan deal ya mwezi mzima..another senior player anaondoka kwenye team, and ndo natural DM pekee tuliyenaye...leo inasemekana atacheza, but hii week haiishi atakuwa kishaondoka kwenda Besiktas...
FT : Arsenal 3 - 0 Liverpool
Man U Fan why dont u mind ur team...
Stop poking the king of Uk....
Anyways YNWA......
LUCAS. FIRMINO NA CAN, wote wanaanza LEO..
Man U Fan why dont u mind ur team...
Stop poking the king of Uk....
Anyways YNWA......