Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Rekebisha kauli nyie hamji sie ndio tunakuja kwenu kuwadonoa tehtehteh Kaa Mkao wa kususa kula na kutoa mkono.

Nilidhani tunakuja kumbe mnakuja na visu ktk ugomvi wa bunduki / risasi lol
 
Sheria mpya Offside
 
Attachments

  • 1439846643645.jpg
    1439846643645.jpg
    36.5 KB · Views: 109
Mtani nilikua naangalia mambo ya Benteke anavyowapiga watu vidali tu. Timu langu lina utamu wake

Asante mtani kama nyie vile na clean sheet

Mtani mwaka wa neema huu mwaka wa kupewa tu.....kibendera kingewekwa juu ingalikuwa ni point moja sasa....lol.....clean sheet yangu ni clean Haswaaa kuliko zote....😛😛😛😀😎
 
Nilidhani tunakuja kumbe mnakuja na visu ktk ugomvi wa bunduki / risasi lol
Tehteh si unajuwa vita vya majimaji mganga Kasema risasi zitakuwa maji nendeni tu kupigana ukiitizama sana movie unaweza kujiona jet Lee na kuzuia risasi na meno.
 
Rodgers doing everything he can to accomodate Lallana, he's the most useless player kwenye team yetu, lakin bado tu anamuamnzisha..kwa mtindo huu team yetu itaendelea kupotea kila siku, Favourtism kila kukicha..Lallana hana impact yoyote kwenye team yetu, hana kabisa..na Midfield 2 ya Henderson na Milner haiwez kuwork, so why forcing it?
 
Mtani mwaka wa neema huu mwaka wa kupewa tu.....kibendera kingewekwa juu ingalikuwa ni point moja sasa....lol.....clean sheet yangu ni clean Haswaaa kuliko zote....😛😛😛😀😎

Kumbuka mna own goli kama angekua benchi ingeisha kwa nunge 😎😎

Wacha tupewe maana mshika kibendera hajazisoma sheria mpya.

Huu msimu kama wa 2013 akirudi DS tutapiga nyingi sana 😉😉
 
Nikija kuelewa anachokicheza lallana nahisi ndiyo kipindi ambacho BR ataacha kufanya sub na kupanga kikosi kibovu uwanjani kwa hivi tunavyocheza tuendelee kuomba bahati iwe nasi.

I only like Gomez today
 
Alberto Moreno might be a better winger than a left-backIn a five minute appearance as a substitute, the Spaniard contributed more than he did in the second half of last season. The Spaniard has a tendency to run in straight lines. On the counter attack when Liverpool require an outlet, this could be an asset.
 
Mtani mwaka wa neema huu mwaka wa kupewa tu.....kibendera kingewekwa juu ingalikuwa ni point moja sasa....lol.....clean sheet yangu ni clean Haswaaa kuliko zote....😛😛😛😀😎

W is W wanasema wazungu dada yangu!Points 6 muhimu tayari
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom