Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mlete update wadau whats happening on the ground, niko mbali na television

Hawa watoto wanatutia jamba jamba tu, dk 12 tayari wana corner nne na possession kubwa sasa sijui na kwa Arsenal huyu BR ataanza hizi au laa
 
Hii partnership ya henderson na milner sioni faida yake kama hatuna DM maana coutinho anashuka mpaka kwenye dimba la kati kupata mipira ndo atoe long ball

Tumekuwa tukipoteza mipira kwa pasi mbovu bado tuna sideways pass na back passes kama msimu uliyopita
 
Umefata nini huku!

Bhana broo umenizingua juzi ujuee....
Nina hasiraaaaaaa hadi leo.
Hapa ni majogoo wanapigana na mitetea sasa nimeipa hela yangu najaribu kui support isije tempa na pesa yangu mkuu
 
Bentekeeeee toka mpira umeanza Lallana simuoni na Milner why anacheza kati sio wing Rogers anachezesha kwa upendeleo sitoshangaa game draw kwa upuuzi wake wa kupanga timu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom